

Pole sana, ndomu zimekua anasa sasa.Jana nimeenda dukan... cheapest condom ilikuwa 2500/- ukweli ndom zimeshoot.... bei juu. Unahonga kaki... unatumia 50% ya hela hyo kununua condom. Not economical kwa kweli.
Wewe huna habari hadi leo kuwa wazungu wamegoma kutoa misaada?!
Mabebebru watata sana. Wanataka kutunyoosha mpaka kwenye ndomu. Wacha tukufe tu
Mechi zote unapiga kavu??..Usalama ukoje??Hiv kuna watu bado mnatumiaga hayo makitu?dah mimi nikivaa tu na dushe linalala ,halitaki kabisa kusikia hizo polymer
Box linatumikaje kama Condom??tena box la sensodine ile og ambayo ina maandishi ambayo ukipapasa kama yamevimba flan hivi
Wenzako tumezimaliza we si ulikua unakula buchaWakuu naulizia hizi condom pendwa ambazo zipo very effective na bei yake wanyonge wengi wanaimudu. Nimezitafuta sasa niko phamarcy ya tano naona hola. Je mzalishaji/msambazaji amebadili biashara, wale wenzangu na mm mmemrejea mola wenu au ni nn kinapelekea ikaadimika sana madukani?
View attachment 1100816
Nina mke mmojaMechi zote unapiga kavu??..Usalama ukoje??
Kibamia IPO dawaHiv kuna watu bado mnatumiaga hayo makitu?dah mimi nikivaa tu na dushe linalala ,halitaki kabisa kusikia hizo polymer
Kivip ,mm Nina nchi 7.5 ,Kibamia IPO dawa
Rafu raida 😝😝😝 hizi hazipasuki yanayopasuka ni yale ya seikali ya MSD yameandikwa Not for sale ya kishenzi sana