Salam zao Apson na Mboma

Status
Not open for further replies.
Baada ya salamu nina ujumbe kwenu: Stand down. Makuwadi na vikaragosi vyenu viambieni virudi nyuma. Miti mingine haikwewi na milima mingine inatosha kuiangalia kwa mbali tu. Mlifanyalo lifanyeni haraka kwani kiza kimeingia.

NB: Salam kwa RO... if you act now you (kwa kumhamisha kuwadi wao) you might change my mind (probably others too) but if you don't nitaamini umesanction the stealth move.

Otherwise; 2010 ni mwisho wao. So like that stupid commercial here in the US "do you want it to hurt now or later".. ?

Vitoto vya Nzi navyo havilali!

Mkulu behu niweke wazi kweli hilo maana kuhusu APSON kila mtu anajua alivyo haribu kwa kuweka TISS kuwa kama chaka la ma incopetents lakini hili la R.O sijakuelewa hebu niweke wazi mkulu
 
MzeeMwankijji,

ungekuwa una mjua Vizuri RO basi hata usingemuomba akusaide kitu..

Nina story juu yake hata kabla hajawa mkuu na sasa nimeanza kuogopa ,niemshajua ni kwanini Mamvi alimpendekeza ..kazi mnayo..mie nimehsachoka

Ufisadi hauwezi kuisha kabisa na kamwe kama nchi ikiwa chini ya watu waina ya RO ..
 
haya tuletee hiyo story maana hapa we dare talk openly
kisha tutajua mjadala uendee upande gani
 
GT,

Nikiweka hapa nitapotezwa maisha yangu ..coz ni mmoja wa wachache tunaozijua...ila muda ukifika nitaiweka wazi..ila jameni ..nchi yetu Tanzania..duh..ebana eeh..noma aisee..najuta ni bora Obama angekuwa Rais Wangu..
 
Mkulu behu niweke wazi kweli hilo maana kuhusu APSON kila mtu anajua alivyo haribu kwa kuweka TISS kuwa kama chaka la ma incopetents lakini hili la R.O sijakuelewa hebu niweke wazi mkulu

sasa hivi mkurugenzi wa TISS ni RO sasa kama hawezi kusafisha madudu ya CAM basi ndio tuna tatizo. Maana sheria ya TISS inampa mkurugenzi nguvu za kutosha tu. Ama sivyo?
 
Kwani Obama naye ni CHAGUO LA MUNGU?
 
sasa hivi mkurugenzi wa TISS ni RO sasa kama hawezi kusafisha madudu ya CAM basi ndio tuna tatizo. Maana sheria ya TISS inampa mkurugenzi nguvu za kutosha tu. Ama sivyo?

Tanzania hakuna kiongozi mwenye nguvu. Labda akiagizwa na wale wataalamu wa kutoa nyonyo! Nitabaki kuwa Thomaso:rolleyes:
 
GT,

Nikiweka hapa nitapotezwa maisha yangu ..coz ni mmoja wa wachache tunaozijua...ila muda ukifika nitaiweka wazi..ila jameni ..nchi yetu Tanzania..duh..ebana eeh..noma aisee..najuta ni bora Obama angekuwa Rais Wangu..

Gembe,
Kama unahofia mpigie pande Mwanakijiji afanye kama kawa. Aachie dossier volume 2
 
Sometimes I wonder is doing this evil to Tanzania makes those do such big headed the way I see them? Damn!! Itabidi niwafundishe kudesign barabara maana kale kakazi naona kamepoteza umaarufu. Hakaijengi tena nchi kanaibomoa....na kibaya kamewaacha watupu wanaadhirika
 
Mkulu behu niweke wazi kweli hilo maana kuhusu APSON kila mtu anajua alivyo haribu kwa kuweka TISS kuwa kama chaka la ma incopetents lakini hili la R.O sijakuelewa hebu niweke wazi mkulu
Inaelekea baada ya kugundua kuna incompetent na yeye ametumia mwanya huo kuongeza wa kwake. Kwanini kilichobadilika sasa ni nini? Dini au aina ya utendaji? Mbona Richmond, Dowans hazikuwa za Apson? Au hilo sio tatizo. Anashindwa nini kusafisha hiyo system kama kuna wasiofaa? RAi...nguvu ya hoja
 
Mimi nilikuwa nashangaa; nyumbani kwa ndugu yangu Gen. Mboma kila siku mbuzi wawili wanachinjwa. Nikauliza he, hivi ukiwa mkuu wa majeshi ndo maisha tambalale namna hii?

Kumbe ni meremeta na EO? Twafwa twilola mwe!!
 
Mkjj, wasikutishe hao watu ambao hata sheria hawazijui. Kama wanakusumbua huko uliko wajue wanavunja sheria za espionage za huko na wanaweza kupigwa pia ASAP kwa sababu ni illegal kufanya any spying kwa residents wa huko wakiwa kama watu wa ubalozi. Hata title zao ni za kuficha sababu ubalozini huwezi kusema huyu ni shushu maana ni illegal act ukiwa kwenye nchi ya watu.
 
siku moja nishawahi kuwa na RO london kwa muda kama wa nusu saa hivi hayo mambo aliyokuwa anaongea du!! alivyokuja kuchaguliwa hiyo post nilishangaa sana na nikajiuliza kwani TZ hamna watu wengine.....

wala simtegemei kufanya chochote labda mkulu amlazimishee
 
Hivi kwanini tusianzishe juhudi ili mafisadi wasi ruhusiwe kuingia katika nchi zinazo pinga ufisadi?
 
Mmeshaambiwa Vi-inzi havilali. Na kama havilali basi ujue vinashughulika. Pamoja na kwamba MKJJ kasema hii ni salamu lakini kuna moja kichwani. Ukiijumlisha na namba nyingine utapa si jibu bali majibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom