Salam zao Apson na Mboma

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Baada ya salamu nina ujumbe kwenu: Stand down. Makuwadi na vikaragosi vyenu viambieni virudi nyuma. Miti mingine haikwewi na milima mingine inatosha kuiangalia kwa mbali tu. Mlifanyalo lifanyeni haraka kwani kiza kimeingia.

NB: Salam kwa RO... if you act now you (kwa kumhamisha kuwadi wao) you might change my mind (probably others too) but if you don't nitaamini umesanction the stealth move.

Otherwise; 2010 ni mwisho wao. So like that stupid commercial here in the US "do you want it to hurt now or later".. ?

Vitoto vya Nzi navyo havilali!
 
Hapa sina uhakika kama mboni ya jicho langu na ubongo vimepeana ushirikiano wa kutosha.....????
 
LOL ni salamu tu za kirafiki kama zile zinazotolewa kati ya nchi za kikomunisti wenyewe wanaziita "salamu za mshikamano"; tatizo hizi ni za "mikinzano". Uache ubongo ukubali kile macho yanaona. Kwani mazingaombwe ni sanaa ya kuyalaghai macho.
 
Hapo umenena Mwanakijiji, hao ndo tatizo kubwa katika mkoa wa Mbeya na nchi hii kwa ujumla. Hao ndo hupanga safu ya uongozi katika mkoa wa Mbeya, na hasa hasa Apson, ndiye anawatesa akina Mwandosya na Mwakyembe!
 
Baada ya salamu nina ujumbe kwenu: Stand down. Makuwadi na vikaragosi vyenu viambieni virudi nyuma. Miti mingine haikwewi na milima mingine inatosha kuiangalia kwa mbali tu. Mlifanyalo lifanyeni haraka kwani kiza kimeingia.

NB: Salam kwa RO... if you act now you (kwa kumhamisha kuwadi wao) you might change my mind (probably others too) but if you don't nitaamini umesanction the stealth move.

Otherwise; 2010 ni mwisho wao. So like that stupid commercial here in the US "do you want it to hurt now or later".. ?

Vitoto vya Nzi navyo havilali!

Wameshaanza kukwea hiyo miti MJJ!

Hujasikia huko Unguja na Pemba wanachofanya, ili tu

kuwafanya wanamapinduzi wasishiriki uchaguzi?
 
Last edited:
Hapo Mzee MJJ kwa walio wengi umetuacha solemba salamu hizo mbona hazieleweki eleweki,na kama hawataitikia salamu zako ni nini kitafuata?
 
unajua kuna zile salamu ambazo unampa mtu na anajua umemsalimu; lakini asipojibu wewe huna tatizo unaendelea na safari yako lakini ukweli ulibakia kuwa ULIMSALIMU.
 
Hapa kuna CHESS game ,sijui ni nani ataibuka kidedea,Mzee Mwanakijiji hebu iweke wazi hiyo game ,ili kama itawezekana tuweze kulinganisha move !
 
Nilidhani hili lilitegemewa na wengi ndio litakuwa toleo la tatu la ripoti ya meremeta, thanks god im still living to witness this prophecy.
 
unajua kuna zile salamu ambazo unampa mtu na anajua umemsalimu; lakini asipojibu wewe huna tatizo unaendelea na safari yako lakini ukweli ulibakia kuwa ULIMSALIMU.

Sawa Mkuu MJJ natumai ujumbe umefika na umeeleweka, tunasubiri tuone kama watajibu salamu zako kama ni waungwana na kama sio waungwana basi tutajua hilo pia.Cha muhimu tumeona umewatumia salamu za kiutawala na tunatumaini watakujibu.

Hili kwa wengi wetu tulilitegemea hasa baada ya kuisoma ile ripoti uliyoiandaa na kwa kuwa umewagusa vigogo ambao hawataki kuguswa wala kubugudhiwa tukajua kwa vyovyote vile watataka kukuona na kukusabahi.Wanapaswa kujua kuwa sala za wananchi wa Tanzania na wanaharakati wote ziko juu yako ili kukulinda na wote wale wapendao uovu.
 
Hehehehe kwa wengine ni kilio na kwa wengine ni kicheko haswaaa. Thank you Mwana kijiji
 
Hapa sina uhakika kama mboni ya jicho langu na ubongo vimepeana ushirikiano wa kutosha.....????

Hata high power microscope yangu imetoka kapa. Nahisi tu kama naota kwamba jamaa wanamtangazia dau MMJ, au? Kama ningeweza kukemea, basi ningejaribu kwamwambia huyo shetani anyauke na mbawa zake zisinyae kama mfuko wa rambo uliotiwa kiberiti.
 
LOL ni salamu tu za kirafiki kama zile zinazotolewa kati ya nchi za kikomunisti wenyewe wanaziita "salamu za mshikamano"; tatizo hizi ni za "mikinzano". Uache ubongo ukubali kile macho yanaona. Kwani mazingaombwe ni sanaa ya kuyalaghai macho.

Ha!ha!ha!ha!ha!ha!.....MM inategemeana hiyo salamu nani kaitoa na kwa nani. When it comes MM anatuma salamu kwa EL or RA hizo salaam unatakiwa kuzikodolea kwa macho ya ndani na kuzitafakari kwa kutumia ubongo fresh!....you might get the insight but may not be able to connect dots mkuu!

hapa sijaelewa mafumbo haya!

Hapo Mzee MJJ kwa walio wengi umetuacha solemba salamu hizo mbona hazieleweki eleweki,na kama hawataitikia salamu zako ni nini kitafuata?

Hata high power microscope yangu imetoka kapa. Nahisi tu kama naota kwamba jamaa wanamtangazia dau MMJ, au? Kama ningeweza kukemea, basi ningejaribu kwamwambia huyo shetani anyauke na mbawa zake zisinyae kama mfuko wa rambo uliotiwa kiberiti.

I thought ni peke yangu nimepatwa na ''mtindio wa ubongo''!
 
Mzee mkjj at least I understand what is pissing u off, but plz neva give up and in a way hivyo vikaragosi sometimes vinact stupidly tena bila hata kutumwa. To them pleasing a boss ndio kitu cha kwanza....... first and foremost. I sometimes wonder whether these ppl have job descriptions. The only thing the don't kno or they ignore ni kwamba they can't stop this wind.

Live up mkjj and neva neva give up.......Gd bless ya!!!!!!!!!
 
yule wa Mwang'onda.. wenyewe watu wa karibu wanajua kwa jina lake la mwanzo "cornel"..

yule mtoto wa former state of inteligence chief ambaye anagombani hiyo kiti cha NEC?....Fill me in cuzin may be i can help you on one way or another...if and only if you need ur msg to be delievered....
 
usiwe na wasiwasi cuz.. message imeshafika; na siyo kwa mtoto ni kwa baba huyo mtoto ni mtoto tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom