Salaamu kwa Wanaume.

Kumbukumbu yangu enzi sijazeeka, Mwanaume ukiwa unajua kuhudumia(ukiwa hauna mkono wa birika), ni mwendo wa kupewa yote tu kunako 6x6

Unakuta baby anajituma balaa kwa bed plus full kunyumbulika

Mwanaume unabaki unagugumia tu, wewe mtoto utaniua babu yako si unajua nimezaliwa mwaka 47 🀭

NB: Vijana kama unataka kufanya maendeleo, jitahidi usiwe na makando kando ya nyumba ndogo

Kumbukeni kuna Uzee
 

Ahsante sana kwa upendo Shemeji.

Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu

Kataa ndoa wote wa JF unawajua.
Ungewatag kabisa ..anyway kwakuwa haiwahusu basi tuwaache kwa leo😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…