Salaam jf

Salaam jf

tisa desemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
434
Reaction score
115
Awali ya yoye napenda nianze kwa salamu yetu aliyoiasisi BABA WA TAIFA hili kabla na baada ya mara baada uhuru
UHURU...................na kaziiii.

pili nichukue fursa hii kuushukuru uongozi mzima wa jf, hogereni sana, kazi mnayoifanya ni kubwa sana, msichoke kwani ninyi ndio radio, tv, magazeti, n.k kwetu sisi tulioko huku kijijini sitimbi.

mwisho, niwashukuru na kuwapongeza sana members woooote wa jf (hasa jukwaa hili), kwa kweli mmenifunza mengi sana, ujuzi wa mambo na uwezo wangu wa kufikiri umeongezeka sana. nimekuwa msomaji wa jf kwa takribani miaka 2, leo nimeamua nami nianze kuchangia mijadala mbalimbali katika jukwaa hili nikilenga kuijenga tanzania (asili tanganyika) tuitakayo.

naomba kuwasilisha.
 
Karibu sana mkuu natumai uta cope na vijana wa humu ndani
 
Back
Top Bottom