Salaam humu ndani!

Sep 18, 2022
10
2
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf. Nimejiunga jf kama member mpya na naona ni vyema kujitambulisha na kuomba ushirikiano wenu. Naamini penye wengi pana mengi. Niliwahi ku-readover jf miaka ya nyuma kama 2012 hivi. Baadae mihangaiko ya maisha ikanisahaulisha kabisa jf. Wakati ule sikuwa nimejisajiri rasmi.

Kwa vile ni mui-kolojia na napenda haya mambo sana, basi naomba mnitambue kwa jina la nguli katika fani, Alexander von Humboldt.

Naomba ushirikiano wenu wadau, mie ni mpambanaji mwenzenu.

Ecologist!
 
Back
Top Bottom