sala zenu wapendwa wa jf

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,650
Reaction score
16,732
wapendwa wana jamii nawaomba muungane na mimi katika sala ,tumuombee mwana jf mwenzetu angel msoffe.amefanyiwa operesheni juzi usiku na kafanikiwa kupata mtoto wa kiume japokuwa hakuwa amefikisha umri lakini mungu saidia mama na mtoto wanaendelea vizuri na bado wapo kcmc wanaendelea na matibabu
 

Woooh! Congrats to Angel Msoffe, God has just opened a door for more blessings, love and joy in her family! Plz say sorry to her also.....
 
Poleni sana
Na Pole sana Angel Msofe Mungu atawasaidia mtakuwa salama kabisa..!
Pia hongera kwa kupata mwana
Get Well Soon Madame
 
Usihofu Mungu anawalinda hongera zao
 
Heri na fanaka kakwe!! Juzi juzi ulijifungua wewe leo jana msoffe mwingine! I'm glady!!
thank you vere mache!
 
flora msoffe mpe pole na hongera Angle, naona umeamua kuiweka pic ya baby kama avatar yako nawe hongera pia.
 
Last edited by a moderator:
Mpe pole angle,mungu atampa uzima soon. Pia mpe hongera kwa kupata baby boy.
 

namweka flora mikononi mwa bwana pamoja ma mtoto wake, malaika wa bwana wa wafunike na kuwalinda nda nguvu za mbaya shetani, na shuha mamlaka toka mbinguni ziwatawala siku zote za maisha yao. Nafunga mbingu zote za mwovu shetani, UWEPO WA NGUVU,ULINZI TOKA KWA MUNGU BABA,MUNGU MWANA, NA ROHO MTAKATIFU VIKAE NANYI NYOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…