Ye anasema urmbo kawaachieni nyie, yeye yuko kikzai zaidi. Anakula mnyama kwa malengo maalum. Chezeya Kongosho weye? Hebu waite na wake wenzio BADILI TABIA na cacico waje wasome hii makitu wajue faida ya mnyama wanikarangazie kwa wiiiiiingi..
Na vyumba vya wageni hatutapanga foleni tena, maswahiba watakuwa wameenda likizo.... Hawa wanyama watatukomaje sasa?
niagizie kabisa na wine, naja! lol!Ye anasema urmbo kawaachieni nyie, yeye yuko kikzai zaidi. Anakula mnyama kwa malengo maalum. Chezeya Kongosho weye? Hebu waite na wake wenzio BADILI TABIA na cacico waje wasome hii makitu wajue faida ya mnyama wanikarangazie kwa wiiiiiingi..
Eti KARIA, unaweza kuniambia Yummy my dear wife alikuwa anajikuna nini? Afu na mke mwenzake BADILI TABIA wala hata hamsaidii. Na hapo sijui my third wife cacico alikuwa wapi! Manina wallah!Yummy HAYO AYALIKUWA YANAFANYIKA KABLA YA MWEZI HUU MTUKUFU!
BADILI TABIA anajiandaa nampitia twende kwa cacico anatuandalia konyagi na asali saizi tukaanze kujidunga kabla ya mechi yetu ya baadae..............utatukuta tuko fiti!!!Ye anasema urmbo kawaachieni nyie, yeye yuko kikzai zaidi. Anakula mnyama kwa malengo maalum. Chezeya Kongosho weye? Hebu waite na wake wenzio BADILI TABIA na cacico waje wasome hii makitu wajue faida ya mnyama wanikarangazie kwa wiiiiiingi..
Eti KARIA, unaweza kuniambia Yummy my dear wife alikuwa anajikuna nini? Afu na mke mwenzake BADILI TABIA wala hata hamsaidii. Na hapo sijui my third wife cacico alikuwa wapi! Manina wallah!
naombeni leo kucheza centre! nshalewa mie saa hiziBADILI TABIA anajiandaa nampitia twende kwa cacico anatuandalia konyagi na asali saizi tukaanze kujidunga kabla ya mechi yetu ya baadae..............utatukuta tuko fiti!!!
eehhh jf kuna mambo ya kila aina..
naombeni leo kucheza centre! nshalewa mie saa hizi
Tena upitie pande hii uniamshe, mi nshalewa. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Wamesema nsikalie meza, mi nmeilalia. tatizo nini?naombeni leo kucheza centre! nshalewa mie saa hizi