Sala ya Usiku.

Sala ya Usiku.

mbweta

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
600
Reaction score
81
Kuna mtoto mmoja alikuwa mvivu sana kusali wakati wa kulala kwa sababu ya usingiz na sala kuwa ndefu, hivo akaamua kuandika sala kwenye karatasi na kubandika ukutani chumbani hivo anavolala anasema 'Mungu soma pale mie nalala' huku akioneshea ile karatasi.
 
Aisee hata mimi mausingizi wakati mwingine nashindwa kabisa kusali, sijui ni pepo au..ila huyo dogo naye mmh, sijui tuseme ni ubunifu au?
 
ni kweli. Wengi wakubwa kwa wadogo wavivu kusali
 
Haa haaaaa dogo hajui kila mtu atabeba msalaba wake? Inabidi afanyiwe maombi!
 
ushaibariki siku yangu, asante, nimecheka hadi nimejihisi mwehu.
 
Back
Top Bottom