Sala ya siku 3, je kama nchi tuna nini? Tunaomba huku hakuna juhudi za kupambana na corona? Wenzetu wanasali au wanawekeza kwenye afya?

Kila baada ya miaka mia.lazima janga kubwa litokee.kuna mtu aliniambia hii habari jana
 
Kama Sayansi imeshindwa basi fanyeni maombi halafu maisha yaendelee kama yalivyokuwa kabla ya Corona!Maana Sayansi imetueleza namna ugonjwa unavyosambaa na namna ya kujikinga,kama sayansi imeshindwa basi tupilia sayansi pembeni halafu kafanyeni maombi huku maisha yakiendelea kama kawaida!Hapa namaanisha
1.Watalii wawndelee kuingia
2.Daladala kama zamani hakuna cha level seat
3.Hakuna mambo ya kuosha mikono wala sanitizer!
4.No mask

Maana hayo manne hapo juu ni sayansi,tusiyafanye hayo maana yameshindwa tukafanye sala!
 
.

Jr
 
Naunga mkono wito wa Rais kuingia kwenye Maombi ya siku tatu, wengine hii ni desturi yetu kuendelea kumwomba Mungu, huku tukichukua tahadhari zote za lazima kujikinga na huu ugonjwa wa COVID-19.

Unapomwomba Mungu zingatia maandiko yafuatayo:-
  • 2 Mambo ya Nyakati 7:14
  • Yona 3:4-10
Huu si muda wa kulaumiana ndugu zangu....tumwombe Mungu
 
Kwani tatizo liko wapi,Mhe.Raisi kaomba kipindi cha Siku 3 special tuombe ,siku zingine tunaendelea kuomba huku tukipambana kwa kadri roho wa maarifa atakavyotuongoza.

Tena ningeshauri Bendera zishushwe nusu mringoti ishara ya toba kwa Taifa mpaka gonjwa hili liyeyuke,kila anaeona ishara ya kitaifa anaendelea kuomba toba kimyakimya .Bila Mwenyezi Mungu kuingilia kati maarifa yenu ni bure.Juhudi zinachukuliwa ila mnataka lazima zifanane na za wenzetu ambao bado pamoja na juhud hizo mapgo yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo muoaji wa wanaume unajiona umetukana?


Kijana unahitaji darasa kubwa hujafkia kiwango cha kufanya mjadala na mimi
Ww shoga mjane, sina shaka na kiswahili changu, kuanzia uwezo wa kuongea, kusoma na kukiandika kwa ufasaha. Na sihitaji popote kuthibitishwa na ww, au yoyote kwani niko vizuri sana kwenye lugha hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule Marekani mnakowategemea Ndio wanaongoza kurudisha jezi

Mimi Marekani kufa siumii maana wanaitesa sana dunia

Na nyie mhamie kule mtuachie Nchi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnara hautajengeka, waashi wanasambaratika kwa kauli hizi za hovyo, tutasali kwa Mungu yupi kama unaanza kujipambanua kuwa wewe in mwanaccm na wengine vibaraka wa mabeberu, sawa tuseme ni hivyo sawa salini ninyi na vibaraka wasisali kisha tuone Mungu atamsikiliza nani, wote tutakufa. Hebu jiulize huko zilikoanzia dini wao hawajui kusali? Ilipoanza tu mapadri 60 walifariki! Hao watu wa Mungu, je, Mungu hawapendi?
Mimi binafsi unataka kwenda hospitali ya Mbagala Zakhiem kupima macho lakini ninaogopa, hospitali haina vifaa zaidi ya maji makavu, yaani bila sabuni! Watumishi hawana mask! Hali hiyo niliikuta nilipokwenda Mara ya kwanza wiki iliyopita.
Ni vyema tuone michango ya wananchi ikitumika kuleta matumaini ya jitihada za serikali ndipo ije na nyongeza za kusali.
 
Watanzania, Kabla ya kupiga magoti kwa Muumba wetu atuepushie janga hili kwanza tujitathimini kama tumewasamehe wale wote tunaodhani walitukosea na kuwasweka kolokoloni...kuwajeruhi wengine kubakia vilema wa maisha na wengine kuuawa huku tukiacha familia zao zikilia machozi

Tukiyajutia haya kwanza ndipo twende mbele zake tumwombe atuepushie janga hili la corona...

Vinginevyo ni kumkejeli Muumba!! am not part of....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…