Sala ya Mwana CCM katili pale anapotaka kufa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,756
Reaction score
63,085
Wana-CCM wote wanaaomuombea Mabaya Lissu, inapofika siku ya kifo wanakuwa wapole kama wananyolewa. Wanajuta sana..

Pamoja na Ukwasi wao na kutunga Sheria zinazowalinda wanapofanya ufisadi lakini saa ya kifo ikifika wanajuta.

Dakika ya kifo wanasema, "Roho yangu imezimika, siku zangu zimekoma, Kaburi i tayari kunipokea." 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…