Huwa wananunua Hand bag Kwa bei kubwa Lakini Sisi wanaume Huwa hatuna hata stori na handbag zao, wanazobeba,
.
huwa wanachana nywele na kujiangalia kwenye kioo kabla ya kwenda kulala,
Eeh Mungu Uwaokoe
Any way... uzi huu na nyinginezo kuhusu wanawake zilizoanzishwa na wanaume ni kiashiria tosha WANAUME WANAWAPENDA SANA WANAWAKE KIASI MAWAZO, MAONGEZI NA MAANDISHI YAO NI KUHUSU WANAWAKE.
Hata kama wanapesa sana , zawadi zao kwa wanaume ni handkerchief, vest, soksi au boxer,...wakati sie tunawanunulia Magari hadi Nyumba...Tupe moyo wa uvumilivu na hekima Baba
hahahahaah naona umerud pale pale u nd help na iko ndicho kinachofanya ad saiv mtuone ss kama miungu wenu apaa dunian ahhahahahaah mana tunawasaidia mambo mengi sana kimwili kiakili n.k