Sala ya kuwaombea wanawake

Duuu hawa viumbe ni kazi kweli kweli
1473985196360.png
 
Huwa wananunua Hand bag Kwa bei kubwa Lakini Sisi wanaume Huwa hatuna hata stori na handbag zao, wanazobeba,
.
huwa wanachana nywele na kujiangalia kwenye kioo kabla ya kwenda kulala,
Eeh Mungu Uwaokoe
 
Hata kama wanapesa sana , zawadi zao kwa wanaume ni handkerchief, vest, soksi au boxer,...wakati sie tunawanunulia Magari hadi Nyumba...Tupe moyo wa uvumilivu na hekima Baba
 
Tutajifunza kuvua samaki na kuisongesha mbele teknolojia (robots) kusaidia tunapohitaji msaada. Siku hizi zege wanawake wanabeba.

Nasikia Ugomvi wa wanaume ambao pia ni kwa ajili ya wanawake.
hahahahaah naona umerud pale pale u nd help na iko ndicho kinachofanya ad saiv mtuone ss kama miungu wenu apaa dunian ahhahahahaah mana tunawasaidia mambo mengi sana kimwili kiakili n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom