Sala ya kuwaombea wanawake

Wanatulazimisha tuwale tigo siku hizi,tukikataa wanaenda kugonolewa nje,.
ee baba tukomboe kwenye maovu yao.
Teh, hapo unasingizia bhana, ujue unasali ka unaomba vya uongo vinakurudia. Twakuomba uwasikie, Amen
 
Hahahahah you mak[emoji3][emoji3][emoji3] my day lol!
 
Any way... uzi huu na nyinginezo kuhusu wanawake zilizoanzishwa na wanaume ni kiashiria tosha WANAUME WANAWAPENDA SANA WANAWAKE KIASI MAWAZO, MAONGEZI NA MAANDISHI YAO NI KUHUSU WANAWAKE.

Wanawake oyeee!
Na tunawaombea kwa mungu kwasababu tunawapenda sana.
 
Basi sawa, ukisema wa nini mwenzio anajiuliza utamwacha lini.

Wanaume hawawezi kuishi bila wanawake. Opportunity cost hiyo.
mmmmmmh hamna sio kwel ilo napinga....ss wanaume tukiondoka umu dunian ataa dk tano tu tukirudi tuna kuta wanawake wote mshadata na kuwa kama mazezeta
 
Any way... uzi huu na nyinginezo kuhusu wanawake zilizoanzishwa na wanaume ni kiashiria tosha WANAUME WANAWAPENDA SANA WANAWAKE KIASI MAWAZO, MAONGEZI NA MAANDISHI YAO NI KUHUSU WANAWAKE.

Wanawake oyeee!
Mrembo hujambo?,nipe michapo basi japo kiduchu Freema,nakumiss sana ujue.
 
mwanamke yuko radhi arukie juu ya meza anaweza kukaa hapo masaa mawili mpaka mme aje kisa kaona kidudu washa chini, ila cha kushangaza utakuta anaparamia kifua cha mwanaume chenye manyoya ya kutisha tena bila woga wowote.
"ee Mungu uwakumbuke waja wako hawa"
 
mmmmmmh hamna sio kwel ilo napinga....ss wanaume tukiondoka umu dunian ataa dk tano tu tukirudi tuna kuta wanawake wote mshadata na kuwa kama mazezeta

Hahahahaa... haiwezekani. Wanawake ni nuru ya macho. Imagine ipite siku hujasikia sauti au kumwona mwanamke yeyote yule. Sisi bibi, mama, dada, mwanao, jirani, mama ntilie, muuza ndizi, muuza duka, mfanyakazi mwenzio bila kujali cheo n.k.

Wanawake ndio umuhimu, kipaumbele cha dunia.
 
Baba uliwaambia wavae gauni wakaleta ukaidi sasa hivi kila mwanamke anatamani avae suruali hats kama nyuma in flat
- type moyo wa uvumilivu Bwana
Hahaha, Dah
 
hahahahahaha naww imagine unaamka kesho ghafla hukuti kiumbe yeyote mwenye jinsia ya kiume dunian utastuka af badae utaanza kujiona kila jambo kwako huwezi kulifanya pasipo uwepoo wa mwanaume.....ilaaa najuaa una oppose bt ukwel unaujua kuwa ss ndioo kila kitu ktk maisha yenu na maisha ya dunia kiujumla
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Tutajifunza kuvua samaki na kuisongesha mbele teknolojia (robots) kusaidia tunapohitaji msaada. Siku hizi zege wanawake wanabeba.

Nasikia Ugomvi wa wanaume ambao pia ni kwa ajili ya wanawake.
 
Atakwambia "baby nywele zangu unazionaje? Si kama J.Lo vile ee?" Tunalazimika kusema tuu ndiyo hatakama ni uongo ili tuokoke na kununiwa.

Tusamehe kwakuwa tunasema uongo nawe ulishakataza baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…