Bado tuko kwenye majonzi ya kumpoteza mwana JF mwenzetu aliyefariki Riverside kwa ajali ya pikipiki siku chache kabla ya ndoa yake. Matukio ya namna hii ni mengi na si haba kila mmoja wetu hapa anaweza kuwa na story yake, hata huku mitandaoni andika kitu cha kijinga kinaweza pata wachangiaji...