Sala ya kumuombea mary chitanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala ya kumuombea mary chitanda

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Alfu Lela Ulela, Jan 11, 2011.

 1. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Salaam mama Maria (Chitanda),
  mama uliyejaa kisirani,
  umelaaniwa kuliko wanawake wote,
  na CCM uliye mzao wa tumbo lake amelaaniwa.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mi nimeomba muibandike hapa picha yake tu huyu mama, yanayobaki niachieni mimi.
   
 3. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  sitaki hata kumsikia huyu mama jina lak ni kama kelele kwenye ubongo wangu
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hana picha huyo mama

  nimetafuta google, nimetafuta facebook.

  kote cheche!!
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....Kitanda kitu ya Makha*ba,
  Utuachie Arusha yetu.
  Na Madenyenge mzao wa uongozi wako amelaaniwa,
  ....
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyu mama hata kama picha yake haipatikani lazima sura yake itakuwa mbaya tu!
   
 7. kagumyamuheto

  kagumyamuheto JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maria mtakatifu mama wa Chitanda. Uwaombee hao wakosefu, Sasa na saa ya kufa kwenu AMINA.
   
 8. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ala haulaaaa
   
 9. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maelekezo ya Kurani Tukufu juu ya dhuluma, najis na umwagaji damu wa muislam kama alivyofanyiwa Ismael iko wazi.

  Chonde naomba msaada wa picha na makazi rasmi ya huyu Merry Chatanda na wale polisi waliomuua Ismael jijini Arusha.

  Sina amani mpaka nitakapoondoa dhambi hii dhidi ya uislam kwa mkono wangu mwenyewe. Na BAKWATA watuombe radhi mapema.
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kichwa chako kimekaa sawa lakini? Naona umeshaanza kuichakachua mada hii nzuri!
   
 11. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  msisahau huyu ni Alkaeda by training . Sio jina lake
   
 12. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  pole mkuu na hasira. kumbuka hasira hasara by the time akili inatulia ndo unajuta kwanini umefanya kitendo kibaya na utaanza kujilaumu, tuliza akili kwanza na utafakari
   
 13. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,445
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Anaonekana vizuri?
   

  Attached Files:

 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Anaonekana ni kimada wa mtu flani hapo CCM ndo maana ana kiburi namna hiyo lkn tutamnyoosha tuuu
   
 15. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmmmh; si mali kitu!
   
 16. Q

  Quick Senior Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Eeh eeh hii ni picha ya mzimu wa nsyuka ? Au macho yangu yananidanganya?.,,nasikia alikuwa miss tz 1991 is it not?
   
 17. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,809
  Likes Received: 2,753
  Trophy Points: 280
  Actually nimemwona huyu mama kwenye magazeti na kasura kake ka mvuto fulani ila roho yake ya shetani. Hafai! Hivi hakuna mdau anayeweza kutu patia kafoto wadau washughulike?
   
 18. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  We we we!!! Chitanda ni Mrembo sana ila roho yake tu ndio tofauti. Hata jina linasapoti, mambo ya chitandani ndo sijui.
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa anashirikisha ubongo kweli?
   
 20. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unajua katika ujio wa mitume kutoka mbali,ukifuatilia hadithi za bibilia,utakuta kuna mitume wametumwa kwenda kuokoa na wengine kwenda kurekebisha mambo fulanifulani.Sasa huyu sijui kwanza nimwite nani kwani nae hapa Arusha ni wakuja kutoka Tanga,na sijui katumwa kuja kuokoa au kuangamiza...!!Huyu si mtume ila ni shetani anahitaji damu za watu,kwani hana hata moja jema alilolisemaga na kulitenda hadi sasa.Amekua kuchocheo cha fujo.Sura yake haifanani na matendo yake na kauli zake hata.Labda leo atakuwa anahudhuria maazishi ya wapiganaji wetu sijui...Na akufika huko ataleta shida kubwa zaidi kwa wanaoijua sura yake hawataweza kuvumilia kumwona.Chamoto kitamwakia.
   
Loading...