Sala ya Bwana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala ya Bwana...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by WISDOM SEEDS, Jul 18, 2011.

 1. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mtoto mdogo wa umri kati ya miaka nane na kumi aliyeishi na wazazi wenye kupenda sana dini,
  walimfundisha jinsi ya kusali sala ya bwana, ambayo aliambiwa kuwa lazima awe anasali kila siku usiku
  kabla ya kulala. Ili asiisahau walimwandikia kwenye karatasi. Alisali kwa siku kadhaa akachoka na kuamua
  kuibandika kwenye ukuta jirani na kitanda chake, ikawa kila anapotaka kulala huinyooshea kidole na
  kusema, "Mungu mi' nimechoka utasoma mwenyewe..." kisha anapanda kitandani na kulala.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahaha....NICE.
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh, hii kali mkuu.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa, huyo Chalii kweli Nunda
   
 5. k

  kifuniboy Senior Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  got another crap again...,hata vichekesho vinahitaji elimu..,
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hujacheka sababu hujaelewa au?
   
 7. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ukiona huelewi basi wewe si mlengwa... kwani mtoto halali na pesa yake ni nepi tu
   
 8. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  dah leo mmeamua kunivunja mbavu!! Hahahahaha!!
   
Loading...