Tetesi: Sakata la Zanzibar lawagawa CCM, watendaji serikalini

Mkulu anataka kukata umeme zanzibar ni wazi mambo c mazuri.
Naunga mkono umeme kukatwa Zanzibar kama mkulu alivyo agiza maana hawataki kulipa deni linalo kadiliwa 121 bilioni.
Kwa upande mwingine watumishi wa Serikali wanao idai Serikali pia wasitishe kutoa huduma hadi hapo Serikali itakapo lipa madeni inayodaiwa na watumishi.
 
Kinachoendelea ndani huko binafsi sikujui. Lakini katika akili ya kawaida . Hapa kuna tatizo na njia za utatuzi ziko nyingi. Nafikiri wahusika wameplan njia ya diplomasia na kuweka mbadala wake. Tutazame pande tatu za wahusika. CUf kupitia kauli za Maalim Seif zimenukuliwa mpaka karibuni kule kisiwani Pemba. Kuwaahidi watu haki yao itapatikana muda si mrefu kupitia ziara ndefu aliyofanya. Upande wa CCM kuna ukimya kidogo na kauli za kujihami kuwa hakuna mabadiliko. Upande wa tatu ni wa jumuiya za Kimataifa. Kwa mara ya mwisho ni hiyo kauli ya Balozi wa EU Tanzania (nimeeleza hapo juu kwenye Comments) ambapo mrejesho hatujaupata wala makanusho.

Kuna usiri umetawala tu na sasa mwandishi alizipata hizi tetesi na kuziweka hapa ili mwenye taarifa za kuthibitika atujuze.

Bila shaka kuna kitu kinatokota.
Nimependa analysis yako kaka.. Time Will tell bro... Nadhani kadiri muda utakavo kwenda kweli itajulikana... na siku zinaenda mbio saaana..
 
Tofautisha kati ya "mtoa hoja" na "mleta taarifa" mimi nimeleta taarifa za tetesi tu.

Lete ukweli yakinifu.
sasa taarifa zako za tetesi hazina ukweli wowote inchi inazidi kuimarika na uchaguzi ulishapita, tufanye kazi , tulime au fanya biashashara. badala ya kuleta tetesi za kustua nchi kiasi hiki. mwenzako alikaa ndani kwa miezi minne hivi kule arusha.
 
sasa taarifa zako za tetesi hazina ukweli wowote inchi inazidi kuimarika na uchaguzi ulishapita, tufanye kazi , tulime au fanya biashashara. badala ya kuleta tetesi za kustua nchi kiasi hiki. mwenzako alikaa ndani kwa miezi minne hivi kule arusha.

Tatizo ni nini kwani?

unakusudia hata tetesi isiandikwe ambapo itahitaji kukanushwa au kubainishwa. Bado hii ni tetesi Kaka. Usipanic.

Sisi tunaendelea kulima bado lakini na tetesi ziachwe ili jamii iweze kuthibitisha au kukanusha. Asante.
 
Naunga mkono umeme kukatwa Zanzibar kama mkulu alivyo agiza maana hawataki kulipa deni linalo kadiliwa 121 bilioni.
Kwa upande mwingine watumishi wa Serikali wanao idai Serikali pia wasitishe kutoa huduma hadi hapo Serikali itakapo lipa madeni inayodaiwa na watumishi.
Hapo ndio utadhihirika uozo wa akili, ukisha kata umeme aibu ya nani? au ndio kukubali sio nchi moja, yaani unakata umeme kwenye chumba kimoja nymbani kwako, dunia nzima itajua ni chuki hata kama kweli hawajalipa bili.
 
Haswaa kinachotokea wengi tulikiona toka mwanzo, sisi kama inchi kujiendesha bado sana upinzani wamekomolewa vibaya sana wenzetu hawakujua wanaotupa kula kwa kiasi kikubwa wanasupport democrasia. Now yamegeuka sasa si vita ya upinzani ni vita na na wahisani wanaochangia zaid ya 50% ya bajeti yetu wameminya kidogo tu tupo hoi, je wakiminya kabisa si balaa! inchi yetu sote kwa vile tulikubali vyama vingi, tuheshimu basi matokeo aongoze Cuf, CCM au chadema yote iwe kwa maslahi ya mama Tanzania. tusirubuniwe na uchu wa madaraka na kukomoa wachache tukadhani ndio ujanja. change we cana believe in bado hatojachelewa.. kiujumla hali ni ngumu mrudishieni Maalim ushindi na wala sio ujinga.
 
Umeme tunalipa kama wananchi maana tuna umeme wa LUKU. Tatizo lipo kwenye serikali. Serikali hailipi madeni yake. Wao ni USANII tu. Sefu Ali Iddi na majengo kila aina na anaendelea kuiba wakati wananchi wana dhalilika. Tatizo ni serikali hii iliopo haina maslahi kwa raia wake.
 
Kuna taarifa ambayo inahitaji uthibitisho kuwa kutokana na kibano cha wahisani mifuko ya Sacco's kubwa hasa za wafanyakazi zikahamishiwa au zimehamishiwa hazina.Tufanye uchunguzi juu ya taarifa hii.
 
Kuna ukweli nauona kwa mbaaaali baada ya kuunganisha dots,
Ok let's wait time is our judge
 
Back
Top Bottom