Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Baada ya kuona observation yako nimejikuta naungana nawe ...jambo limezua jambo! Bango limekaa pazuri! And more power is being used...Nimeipenda hii picha, wazee walivyokaa walipatia sana maaana kuna Bango hapo Nyuma nadhani ni la DHL linasema MORE POWER na Kuna Polisi na kalandinga lao, Nadhani hii picha inahabari zaidi ya habari