Sakata la utafunaji wa mishahara ya watumishi hewa kwenye halmashauri, nani anastahili kutumbuliwa?

mbongokazi

Senior Member
Dec 31, 2015
110
23
Tatizo la utafunaji Wa fedha ya watumishi waliowahi kuitumikia serikari wakaacha kwa sababu mbalimbali limekuwa donda ndugu sasa. Lakini bado suluhisho lake mpaka sasa halijapatikana. Maswali ya kujiuliza je nani anazalisha watumishi hewa? Nani anatakiwa kukagua kuwa watumishi waliopo wanastahili kuwepo!

Tuchukulie mfano kwenye halimashauri ya wilaya, munispaa au jiji kati ya wafuatao niwepi wanastahili kutumbuliwa ? Mkuu Wa Idara, Afisa utumishi, Muwekahazina au Mkurugenzi?

Je na upande wa serukari kuu kwenye ngazi ya wizara nani atumbuliwe???

Wanabodi karibuni tujadili ilikukomesha tatizo hili lisijirudie tena!
 
Back
Top Bottom