Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Wakati Rais alipowakaribisha waandishi wa habari,moja ya maswali kutoka kwa waandishi lilikuwa sakata la wabunge wa ccm kuhongwa bil 2.7 na serikali ili kupitisha muswada wa sheria ya habari!Mh Rais alijibu kwa ufupi sana kuwa muswada ukifika atausaini siku hiyo hiyo!Pia akasema kuna vyombo husika vya kushughulika na mambo hayo ya Rushwa!
Rais Magufuli amejitanabaisha kama mtu asiyependa Rushwa,sikutegemea kama na yeye alipata tetesi zile reaction yake ingekuwa ile aliyoionesha mbele ya waandishi wa habari!Nilitegemea aseme kama ilivyo kawaida yake,kwa ukali huku akisisitiza kuwa suala hilo litachunguzwa na hatua za kinidhamu zitachukuliwa kama itathibitika ni kweli!Badala yake hakuonesha reaction yoyote zaidi ya kumjibu kwa jazba muuliza swali!
Mpaka sasa hakuna taarifa iliyotolewa juu ya suala hilo!Ni kama limezimika kimya kimya!
Hapo ndio napata mashaka juu ya dhamira ya kuanzishwa mahakama mafisadi ilikuwa ya dhati au la!
Napata ukakasi,je ni kweli mahakama hii imekosa wateja kutokana na kutokuwepo mafisadi au ni iko kisiasa zaidi?