Sakata La Tembo: Shehena ya Pili Yakamatwa Hong-Kong Toka Tanzania

mkicheka na kima shambani kwako utegemee kuvuna .................................................
 
Ndio maana nilishasema hapo mwanzo kuwa MBUGA ZETU ZOTE ZITAKUWA MIJI MIKUBWA[Cities].Kunatakuwa hakuna mnyama tena.On hawa mafisadi wanajenga mahoteli ndani ya mbuga.kwa hiyo tunaongeza kasi ya kuwatokomeza wanyama sisi wenyewe.Nilisema maadui wa resources yetu hii muhimu sana hapa Tanzania ni, majangili,climate change and Global warming,professional hunters[granted by Government].Tusiposimama imara kuanzia sasa na kutokuwa mpambe Taifa la Tanzania ifikapo 2025 Linakuwa hakuna mnyama yeyote kasi hii.Na tutengemee mapema sana kupata city mpya inayoitwa SERENGETI.Husiposimama sasa mtoto wako atakulilia wewe ,kwani atashangaa.Historia itasema siku hizo.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Nadhan mpaka huyu katibu wao atoke madarakan, kuna baadh ya wanyama watapotea kabisa. Baada ya kufadhir mbwa mwitu, Mzee wa magogon ajiandae kutoa 30mil nyingne kwa ajil ya hao wanyama.

Kaz kwel kwel...!!
 
Mwaka wake ameingia siasa wakati mzuri sana,ameishiwa hata nguvu za soda alizoanza nazo!Nape yu wapi ajibu ujangili wa boss wake?
 
Nina wasiwasi kuna kuzurumiana katika biashara hii na wengine wanaamua kutoa siri.Maana hii kasi ya kukamatwa si ya kawaida.Hii biashara haijaanza leo wala jana.
 
Dah! Hivi kweli baada ya miaka kumi tutakuwa na tembo tena au ndo tutakuwa tunakwenda makumbusho kuangalia picha za tembo kwa kumbukumbu
 
tungeweza kufunga jela watu kama watano wawe mfano yote haya yasingekuwepo

tunalambana sana miguu seenz type
 
Ikiwa twiga alikunjwa akawekwa ndani ya kiberiti na kusafirishwa nje do chez kushangaa kwa shehena ya meno ya tembo ikiwa kama lina ukweli
 
Halafu kwa mtaji huu kwa nini wasiweke mapesa Uswis? Serikali ya CCM ni janga kubwa!
 
tuwategemee wageni kama wazungu waje waulindie mbuga zetu
kwani sisi wenyewe tumegeuka kuwa majangili ndani ya serikali zetu
hao hao wapiga debe kuhusu wanyama ndio wahusika wakubwa
sioni kwa sakata hili Kagasheki na makamu wasijiuzulu mara moja,
wakuu wa bandari, TRA wote wasiwajibishwe.
NATAMANI KUAZIMA SHERIA ZA CHINA ZA KUWAKATA VICHWA
 
kinana @ work ccm tembo wetu wanaisha ati kwani hamuwezi kukanyana mfanyebiashara nyingine
 
Back
Top Bottom