P pd2 Member Oct 12, 2012 14 0 Apr 26, 2013 #101 Hata kama anajulikana, ni panya gani atamfunga paka kengele?
Ndoa JF-Expert Member Dec 2, 2011 1,033 253 Apr 26, 2013 #102 Huo ni mradi wa magamba. Wanatafuta pesa ya uchaguzi.
A acacia Member Mar 23, 2013 45 6 Apr 28, 2013 #103 Fabolous said: Kinana utamaliza Tembo wetu. Click to expand... Kumbe ndio maana anachukua Loliondo na OBC yake? Wamasai mmekwisha kabisa....
Fabolous said: Kinana utamaliza Tembo wetu. Click to expand... Kumbe ndio maana anachukua Loliondo na OBC yake? Wamasai mmekwisha kabisa....