Roboti wa Lumumba hili hawalioni.Serikali kwa kauli yake yenyewe ilisema ya kuwa itagharimia usafiri wa kupeleka miili ya marehemu, kulikoni leo tunaambiwa ya kuwa kwenye hizo pesa kuna gharama ya usafiri wa magari, huu ni uzandiki mkubwa, mwenyezi mungu anayaona yote haya yanayofanywa na serikali dharimu ya ccm, ipo siku yote haya yatakuwa hadharani hata kwa mtoto wa darasa la nne
Mmeng'ang'ana na tuhuma msaada hakuna. Lazaro Nyalandu ka-play part kubwa kuwasaidia majeruhi ili wapate matibabu lkn wewe Lema umekalia majungu tu..!!Godbless E.J. Lema
@godbless_lema
4h
Wafiwa wengine wameanza kupigiwa simu sasa hivi baada ya taarifa yangu ya kuongea na vyombo vya habari kesho kusambaa . Ni laana kubwa hii.
View details ·
Godbless E.J. Lema
@godbless_lema
Instagram kwa mwanaharakati Mange Kimambi nako kuna tuhuma nyingine mpya kuhusiana na sakati hili baada ya wafiwa kupokea rambirambi hizo.
Mmeng'ang'ana na tuhuma msaada hakuna. Lazaro Nyalandu ka-play part kubwa kuwasaidia majeruhi ili wapate matibabu lkn wewe Lema umekalia majungu tu..!!
Watasema wamesafirishia wakati tuliona kazi zote na magari ni ya jeshiMACCM ni majizi makubwa sana. Pesa zilizotolewa ni 215 milioni, Wana familia 32 kila familia imepata 3.85 milioni nyingine nyingi haya majizi yametia ndani. Yarudishe pesa za rambi rambi haraka sana haya majizi.
Tunajua kampuni ya Nyalandu ya utalii ndio ikikuwa bahati walikuwa wameleta kundi la madaktar wa kimarekani kutaliii ndii bahati mbaya au nzuri wakakutana na ajali ,wamarekani watoaji sitaki kuamini kuwa wanataka kusafiria nyota ya watalii wa kimarekani wa nyalanduMmeng'ang'ana na tuhuma msaada hakuna. Lazaro Nyalandu ka-play part kubwa kuwasaidia majeruhi ili wapate matibabu lkn wewe Lema umekalia majungu tu..!!
Kama kila jambo si siasa kwa nini wanasiasa ndiyo waliendesha ule msiba na si wafiwa wenyewe? Makamu wa Rais si Mwanasiasa, Gambo si mwanasiasa?Huyu lema kila jambo yeye ni siasa tu .. This is too much
Serikali dhoofu bin hali inatamani hata haya mafuriko watu wangechanga...na utaona watu kimyaaaaaSerikali kwa kauli yake yenyewe ilisema ya kuwa itagharimia usafiri wa kupeleka miili ya marehemu, kulikoni leo tunaambiwa ya kuwa kwenye hizo pesa kuna gharama ya usafiri wa magari, huu ni uzandiki mkubwa, mwenyezi mungu anayaona yote haya yanayofanywa na serikali dharimu ya ccm, ipo siku yote haya yatakuwa hadharani hata kwa mtoto wa darasa la nne
Watu wanasema JPM...hakuwakilishwa arusha wakati "rais msaidizi" Bashite na..mama makamu wao walikuwapo....Ila kuvamia TV Station ni Utukufu kwa Mungu!
Ila Kumsingizia Askofu anakula Unga ni Utukufu kwa Mungu!
Ila kufoji vyeti na kutumia Jina la Uwongo ni Utukufu kwa Mungu!
Ila kupokea Rushwa za Magari ya wafanyabiashara anaowatishia kuwataja ni utukufu kwa Mungu!
Ila kufanya ufuska na Masongange na kumtumia Kupush madawa ni Utukufu kwa Mungu!
My Friend hata Shetani anaonea aibu maneno yako ya Kibashite! Aka Bull Shit
Kama kweli zilipatikana Shilingi Milioni mia mbili na kumi na tano (215,000,000) na kila familia ikapewa Shilingi Milioni tatu laki nane na elfu hamsini (3,850,000) basi kunahitajika maelezo ya zaidi ya Shilingi Milioni tisini na moja na laki nane (91,800,000) zinatakiwa zijulikiane zilitumikaje!mwenye taarifa ya mchanganua atuletee hapa wakuu....tuone kama kuna tija ya kulalamika....
mkuu wa mkoa anadai kuna gharama za mazishi pia...kusafirisha baadhi ya miili.. na siku ya tukio lenyewe....Kama kweli zilipatikana Shilingi Milioni mia mbili na kumi na tano (215,000,000) na kila familia ikapewa Shilingi Milioni tatu laki nane na elfu hamsini (3,850,000) basi kunahitajika maelezo ya zaidi ya Shilingi Milioni tisini na moja na laki nane (91,800,000) zinatakiwa zijulikiane zilitumikaje!