Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
MACCM ni majizi makubwa sana. Pesa zilizotolewa ni 215 milioni, Wana familia 32 kila familia imepata 3.85 milioni nyingine nyingi haya majizi yametia ndani. Yarudishe pesa za rambi rambi haraka sana haya majizi.
Mkuu kuna nyepesi kuwa sio wote wamepata hizo 3.85, Pesa waliyopewa ni 2.855 milion. Kuna uongo mwingi sana juu ya uongo uliotangazwa na mkuu wa mkoa.