Sakata la Rambirambi Arusha: Lema aibuka na tuhuma mpya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,682
149,885
Godbless E.J. Lema
@godbless_lema
4h
Wafiwa wengine wameanza kupigiwa simu sasa hivi baada ya taarifa yangu ya kuongea na vyombo vya habari kesho kusambaa . Ni laana kubwa hii.
View details ·
Godbless E.J. Lema
@godbless_lema

Instagram kwa mwanaharakati Mange Kimambi nako kuna tuhuma nyingine mpya kuhusiana na sakati hili baada ya wafiwa kupokea rambirambi hizo.
 
MACCM ni majizi makubwa sana. Pesa zilizotolewa ni 215 milioni, Wana familia 32 kila familia imepata 3.85 milioni nyingine nyingi haya majizi yametia ndani. Yarudishe pesa za rambi rambi haraka sana haya majizi.

Utawala wa kizalimu huomba mabaya kwa watu wake ili upate chochote ,lkn iko siku majibu mtayaona hata nusu ya aibu tu hamna kweli?Lkn kwakuwa tumelogwa basi haya tutayaona ya kawaida lkn hakuna zambi mbaya kama is uzurumati.
 
Godbless E.J. Lema
@godbless_lema
4h
Wafiwa wengine wameanza kupigiwa simu sasa hivi baada ya taarifa yangu ya kuongea na vyombo vya habari kesho kusambaa . Ni laana kubwa hii.
View details ·
Godbless E.J. Lema
@godbless_lema

Instagram kwa mwanaharakati Mange Kimambi nako kuna tuhuma nyingine mpya kuhusiana na sakati hili baada ya wafiwa kupokea rambirambi hizo.
Lazima ututajie Mangeleza,wewe sijui ukoje
Yaani Lema anataka kutuambia watu wamegiwa simu kwa kuwa kesho anaongea na wanahabari?
Hizi kiki za misiba zinamuumiza lema
 
Back
Top Bottom