Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

Tumain Makene andika jina Rais kama inavyotakiwa usilete kiburi na majivuno yasiyo ya msingi....Lissu akiamuliwa kufichwa atafichwa tu hata mkienda the Hegue!
ha ha wapambe bwana mumetoka ikulu sasa mumeshaambiwa anafichwa afichwe tu lakini message ndio itasambaa vizuri kwa wananchi na akina lissu wengine wataendeleza libeneke munafanya viburi huku dunia inaangalia ni maskini
 
Safi sana ngoja ajue kuna sheria za nchi..ukosoaji unatakiwa ufanyike kwa hekima na ata kama amelipwa commission zismtoe ufahamu awe na uzalendo na nchi yake...kwani nchi hii ikikwama anafkri JPM atakwama? JPM na familia yake wanalipwa pension maisha yao yote...atakayeteseka ni mwananchi wa chini ajifunze kwa Zimbabwe watoto wa Mugabe wanaishi maisha ya kifahari South Africa ila wananchi wake wanapata shida huyu mjinga asitegemee kumkomoa JPM ajue anawaumiza maskini
Wakati mwingne lawama hazisaidii wakati ukweli unaonekana. Huyu jamaa kakosea Wapi? Kuweka wazi kilichopo wananchi tukajua! Kuna mambo yakumlaumu huyu mtu ila kwa hili sioni lawama ya kumpa kwani si jambo la kificho wala uongo. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
 
Wewe unachokijua ni nini? Ninyi mshabikieni tu huyo SINGIDANI asiyekuwa na uzalenda hata chembe kwa Taifa lake, sasa hivi mashavu yanaendelea kuwa dodo kwa ajili ya kupata fedha za usaliti
Hivi kwanini Waziri wa Ujenzi wakati huo aliuvunja huo mkataba wa serikali na SCEL? Kwanini fedha hazikulipwa wakati zikingali dola mil. 25?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana wamlawiti kabisa huko shimoni
sidhani kama ni maneno yametamkwa na Mtanzania!
Halafu siku mambo yakibadilika itakuwa zamu ya nani kutendwa?
au ndio kama yale mambo ya shoga bus lilipotekwa "..kaka jambazi msimamo uwe huohuo!"
fikiri kabla... hatujakufikiria kinyume!
 
Kutawaliwa kikoloni bila kodi na bila hela ya kutosha huku rasilimali ghafi wakizipeleka kwao,
Na kutawaliwa kiubabe na mzawa huku ukitozwa kodi na faini za ajabu na vifungo vya hapa na pale bila kutoa hoja huku kodi yako ikinunua mali nchi za watu bila kupewa taarifa na mali hzo kukamatwa kwa makosa yao wenyewe na ukiongea tu unapimwa mkojo..!!
Ni bora wakutawale wazungu tu wanahuruma
 
Hata lema alipewa kiki na ndoto zake!
mbona anaongea na juzi kasema vizuri mutanyamazisha maiti lakini sio binadamu tatizo munaficha kichwa kwenye mchanga kama mbuni mumeuwa muweka watu ndani mumewatupa watu wenye visandaausi bado munauwa na watu wanaendelea kusema na wataendelea maana nchi siyo dikteta Magufuli ya wote
 
Back
Top Bottom