Yaani mtu mmoja ana vyeo vyote hivi ? Huko CCM hakuna wengine katika maeneo hayo ? Kama hawapo akiondoka nani atashika nafasi zote hizo ama ataendelea kuwakilisha hadi katani ? Huyu nadhani ana mambo kama ya six huyu kuna jambo hapa si bure .
Hi Guys,
Maoni yangu: mtoto wa Raisi ni raia huru kama wewe na mimi. anahaki ya kuamua kumsupport mtu yoyote ambaye anaona kwa fikra zake kuwa ataweza kuwa kiongozi bora wa UVCCM.
Thanks.
Mtu wa pwani uko sawa ila hii imekaa vizuri zaidi..ccm chama makini kwa watu makini
Hi Guys,
Maoni yangu: mtoto wa Raisi ni raia huru kama wewe na mimi. anahaki ya kuamua kumsupport mtu yoyote ambaye anaona kwa fikra zake kuwa ataweza kuwa kiongozi bora wa UVCCM.
Thanks.
Hivi kuna ubaya gani hasa kwa mtoto wa Rais kumfanyia kampeni rafiki yake? Ina maana ukishakuwa mtoto wa Rais basi ukae tu nyumbani. Ridhiwani ni mwanasiasa na ana haki ya kufanya siasa ikiwemo kumfanyia kampeni mtu yeyote anayeona anafaa kwa utashi wake. Tuache longolongo zisizo na kichwa wala mkia. I mean what is the exact problem here, are we becoming obsessed with witch hunting?
hivi hao wanahangaika kugombea uongozi ccm, hawajajua bado kuwa hiki ni chama mfu? bado wamelala kugundua kuwa hili dola limeanguka kama dola la warumi? ningewashauri wasife na tai shingoni, waelekeze nguvu zao kwa vyama vyenye akili
KILA MTANZANIA ANA HAKI YA KUGOMBEA,MRADI AWE AMETIMIZA MASHARTI YA UMOJA WA VIJANA.HUSSEIN ANA HAKI PIA.by the way umerudi dom au bd uko dar kaka?Binafsi nampongeza Hussein Bashe kwa kitendo chake cha kujitokeza wazi kuonyesha nia yake, nawashauri na wengine wenye nia kama hiyo wajitokeze wazi bila kujificha, namjua vizuri bwana Bwana Hussein kwa umahiri wa kujenga hoja za msingi, tunahitaji vijana wa aina ya Hussein Bashe na si Remote Controlled Leaders ! vyovyote itakavyokuwa mwezi Desemba tutahitaji vijana wa aina ya Hussein na si wale wanaopangwa makao makuu kama si Husein basi yeyote yule ili mradi asiwe anaepigiwa upatu na vibosile wa Hq