mohammedzahor
Member
- Jun 24, 2008
- 68
- 3
Hekima zaidi inahitajika kuliko jazba na utashi wa kimkundi, mimi naamini dr. nchimbi ameshawishiwa vibaya na si kweli kwamba hakujua kwamba huu ni wakati wa uchaguzi na maneno huwa mengi kuliko ukweli wa mambo, nawashauri jumuiya ya vijana kuliangalia hili kwa makini zaidi.
Sisi kama vijana tuna wajibu wa kuimarisha zaidi jumuiya na nchama chetu kwa kujenga misingi ya umoja na mshikamano kuliko kujenga makundi kwa maana ya kumalizana kisiasa, sote ndio tunaotegemewa kuitetea ccm huko tuendako ili iendelee kuongoza nchi, matendo yetu ya leo yatatuweka pabaya huko tuendako na watu watashindwa kutuamini mana tayari watakuwa wanayo historia na vigezo vingi vya kutupima.
Kwenye hili sote kama jumuiya ya vijana tumeshindwa kuona athari za matendo yetu hadi kuifanya ccm kuingilia kati, pia ushauri kwa viongozi wetu wa ccm watuangaliwe kwa karibu na kwa maana ya kutuunganisha badala ya kuongeza nyufa miongoni mwetu, sayansi ya kawaida jumuiya ya vijana na vijana wenyewe ndio viongozi wa kesho, inawa tuliowengi huwa hatulikubali hili ila huo ndio ukweli na hatuna budi kuuelewa, haina maana nyengine yoyote zaidi ya kwamba kuwa kwenye jumuiya ndio tanuru la kuoka viongozi walio bora, uvcc ondosheni tofauti zenu na mjitahidi kuangalia wale mnaowaongoza. tunategemea hili mtaliweka sawa kwa kuondoa tofauti zenu na kusameheana ili jumuiya iendelee kuwa kitu kimoja badala ya ilivyo sasa.
CCM chukua nafasi na uwe mtetezi wa haki badala ya uchochezi miongoni mwa vijana , wote ni vijna wenu wale walio na madaraa na mamlaka na wale wasio na madaraka wala mamlaka, ila kwa ujumla wote ni mazalio ya ccm na hivyo hatuna budi kuwahudumia kama wamoja na ili kutokuwagawa miongoni mwao na hivyo kuimarisha chama chetu.