Capitol Hill
JF-Expert Member
- Oct 19, 2007
- 749
- 48
I agree with you Nape..."Country First"
Wakubwa nawashukuru sana kwa mawazo yenu ambayo kimsingi yote nayaheshimu sana kwa ujenzi wa nchi yetu, nakaribisha mawazo zaidi....
Nape

..huyu Nape naye aache kutuzuga hapa.
..huo mradi wa CCM una mahusiano gani na maslahi ya Tanzania kama nchi?
..bado sijamsikia akizungumzia masuala yanayoihusu nchi kwa mfano: mikataba mibovu ya madini, ubinafsishaji unaolitia taifa hasara, sekondari za kata zisizokuwa na waalimu, ukimwi, mauaji ya maalbino, madawa ya kulevya, ujambazi, ukabila, udini etc etc.
wako wanachama wa CCM ambao wameweka maslahi ya nchi mbele na siyo chama chao. mfano wa wanachama ni watu kama Dr.Mwakyembe ktk ile sakata ya richmond.
..sasa kama Nape naye anadai anatetea nchi, basi juu ya huo mgogoro wake wa jengo la UV-CCM, angetueleza msimamo wake kuhusu masuala ya kitaifa.
..mpaka sasa Nape amejikita zaidi ktk masuala ya chama chake CCM.
FMES,
..wako wanachama wa CCM ambao wameweka maslahi ya nchi mbele na siyo chama chao. mfano wa wanachama ni watu kama Dr.Mwakyembe ktk ile sakata ya richmond.
..sasa kama Nape naye anadai anatetea nchi, basi juu ya huo mgogoro wake wa jengo la UV-CCM, angetueleza msimamo wake kuhusu masuala ya kitaifa.
..mpaka sasa Nape amejikita zaidi ktk masuala ya chama chake CCM.
Nakubaliana na wewe Kaka Mkumbo Ridhiwani ana haki zote za kufanya atakalo. Huyu jamaa amefilisika kisiasa kiakili na kimawazo. Acha wivu usio na msingi hautakusaidia. Kama hupendi chaguo la Ridhiwani kwa nini usianze kampeni za huyo umtakaye?Hivi kuna ubaya gani hasa kwa mtoto wa Rais kumfanyia kampeni rafiki yake? Ina maana ukishakuwa mtoto wa Rais basi ukae tu nyumbani. Ridhiwani ni mwanasiasa na ana haki ya kufanya siasa ikiwemo kumfanyia kampeni mtu yeyote anayeona anafaa kwa utashi wake. Tuache longolongo zisizo na kichwa wala mkia. I mean what is the exact problem here, are we becoming obsessed with witch hunting?
Hivi kuna ubaya gani hasa kwa mtoto wa Rais kumfanyia kampeni rafiki yake? Ina maana ukishakuwa mtoto wa Rais basi ukae tu nyumbani. Ridhiwani ni mwanasiasa na ana haki ya kufanya siasa ikiwemo kumfanyia kampeni mtu yeyote anayeona anafaa kwa utashi wake. Tuache longolongo zisizo na kichwa wala mkia. I mean what is the exact problem here, are we becoming obsessed with witch hunting?