Sikujua kuwa Nchimbi anaweza kuwa na wapiga debe wa nguvu sana kwenye ukumbi huu hadi wanadiriki kutangaza waziwazi kuwa Nape hamuwezi Nchimbi. Yaani inaonyesha wazi kuwa kulikuwa na bifu kali kati ya Nape na Nchimbi na Nchimbi akawa mshindi, at least for now. Hata hivyo nadhani kuwa ushindi huo hauna manufaa kwetu wananchi tuliochangishwa hela nyingi sana kujenga vitega uchumi mbalimbali za CCM likiwemo jengo hilo la vijana linaloleta bifu hili.
Just hype and bull....?
Of course, we will bring an exclusive uncut, unedited interview with Nape Nnauye on KLHN early in the morning tomorrow. About 15 minutes that will thrill you and make you tap your foot, drop your jaw and say.. I know why!
LOL! Nyani
Fisadi mtoto,
Sio wewe uliekuwa against Nchimbi humu muda flani? imekuwaje mkuu umebadilika?
Kweli TZ hatuna wanasiasa kabisa wengi tunaganga njaa tu!
Ngoja nipate chai yangu hapa!
kwanza si kweli kuwa Nchimbi alifeli darasa la saba na kwenda kusoma sangu,bali Nchimbi alikwenda kusoma Uru seminary ambako uko alisoma na kina Dk cyril Chami,ANtony Komu,Josephat Kweka etc...wakwti ule shule za seminary zilikuwa ni bora kuliko za serikali na hata inerview yake watu wajinga kama wewe walikuwa hawawezi kupass.Sangu alihamia akiwa form two.....sawa nimekubali kwamba kwa mtazamo wako ni kwamba Nchimbi elimu aliosoma ya mzumbe i mean undergraduate na masters ya MBA,maana ana MBA ya mzumbe pia. vyote ni fake,hapo sijajua ufake ni chuo au hakuwepo darasani kabisa?????tukimaliza hili twende hatua inayofata.1
Mkuu nilitaka mimi na wewe twende step by step, of exactly who Nchimbi is tukaona jinsi alivyoshindwa kupasi darasa la Saba na kwenda kusoma Sangu, nikakuuliza Sangu ambayo na wewe ulisoma kama ni shule ya Serikali ya waliopasi hukujibu tena! Sasa kosa langu liko wapi? Haya matuisi ni wewe unayapenda sana eti kwa sababu wewe ni shoga wa Nchimbi basi inakupa power ya kuja hapa na kutukana na jina la mtoto wa fisadi, watu wengine mtaelimika lini jamani?
2.
No clue what is the point here?
3.
Anytime ukiwa tayari kuonyesha elimu nzito na ya halali ya Nchimbi, mimi nitakupa hiyo medali ya Nchimbi, lakini ulikuwa na all the time kufanya hivyo toka juzi sasa tatizo lilikuwa nini? Nani aliyekuzuia na nani anayekuzuia sasa?
4.
1. Hivi kwa nini uantaka kuchanganya ishus, aliyoyafanya Nchimbi jana nani amekataaa? Wote tumekubali kuwa jana Nchimbi amfanya aliyoyafanya kama mwenyekiti wa UV-CCM, hakuna aliyetegemea Nchimbi kufanya tofauti, lakini tunasema kuwa bado ishu itaenda CC, sasa hapa hoja yako ni nini?
2. Mimi unajua vyema ni lini nimewahi kukimbia hapa wala kubadili majina? Sasa leo au kesho cha ajabu kitakuwa ni kipi hicho as far as Nchimbi na CCM mpaka eti nikimbie na kubadili kauli? Sio tabia yangu hiyo hata siku moja mkuu!
I am always here, having a lot of fun and good time na ishus za taifa langu! uwe unawatisha wasiokujua vizuri na wanaoamini kuwa kweli wewe ni mtoto wa fisadi, not me mkuu!
Again Ahsante Sana.
1) Kama CC na NEC watapitisha mkataba wa jengo la UVCCM, basi JK atakuwa amepigwa bao la mwaka na mimi binafsi ndio itakuwa mwisho wa kupoteza muda kusubiri chochote cha maana toka kwake.
2. Nape inajulikana wazi kuwa sio chaguo la JK kuwa mwenyekiti wa UVCCM!!!
1. wewe mwenye akili kama zaako ndio unaweza kuwa against mtu hapa ndani.mimi niko against mawazo ya mtu.
2. pale anapokuwa amewaza sahihi namuunga mkono.kwa sasa Nchimbi yuko sahihi
3. kama vile nilivyounga mkono CHADEMA kumsimamisha Marehemu Chacha Wangwe kwa kuvujisha siri za chama na kuongelea matatizo ya ndani kwenye magazeti jambo ambalo linaumiza chama.
"....Tusilaumu balozi za kina USA na UK hawa jamaa wanatuelewa watanzania ni watu wa kudanganywa siku zote si viogozi wala raia wa kwaida kubainisha hilo wangalie viongozi weu wanapokutana na viongozi wa nchi kubwa wanakuwa dhaifu... kabisa pili ukiangalia upande wetu wananchi wengi akili hazifanyi kazi hazina upeo amini leo hii kuna watu bado wanamini Mwalimu yupo hai na wanahoji kwanini hajafika kuwatembelea ,kunawengine wanafika viwanja vya ndege kwa imani watafirishwa kwamiujiza hayo yote ni shahidi tosha tumekuwa na majigambo mengi lazimatubadili hali hii"...
Mungu ni wakwetu wote,na kamwe hawezi msikiliza mtu mnafiki na muongo kama Nape.
Eti this time Nchimbi yuko sahihi? Halafu eti unalilia mabadiliko ya taifa?
Fisadi mtoto,
Sio wewe uliekuwa against Nchimbi humu muda flani? imekuwaje mkuu umebadilika?
Kweli TZ hatuna wanasiasa kabisa wengi tunaganga njaa tu!
Ngoja nipate chai yangu hapa!