S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 88
Zengwe la umri ni kanuni iliyoingizwa kwenye taratibu za Uchaguzi wa UVCCM mwaka 2003 wakati Mwenyekiti wa sasa, Dk Emmanuel Nchimbi anawania nafasi hiyo kwa mara ya pili, ikilenga kumuengua, lakini busara ya Kamati Kuu ya CCM iliiweka pembeni kwa muda.
Nnauye alifanya kosa la kukemea ufisadi ndani ya CCM akiwa nje ya madaraka; alitakiwa aende "kimya" kama yule simba wa kwenye methali....
Vikao vya chini havina mamlaka kukata jina la mgombea, wanachofanya ni kujadili na kuweka alama na mimi waliniwekea alama mbaya ya E ikimaanisha kwamba sifai. Hata hivyo, kikao chenye mamlaka ya kukata jina na Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, alisema.
ningemshauri nape kama yeye ni mwanaharakati makini,asiye lenga kujitafutia umaarufu basi ajiunge na wenzetu wakina mnyika,zitto etc ccm sio baba au mungu wa siasa za taifa hili.ni kwa sababu tu hakuna playing field yenye usawa.kama kweli kile alichokisema alikimaanisha then ya nini kubaki katika chama kinachomwekea mizengwe?
Hata hongera kwa uamuzi wako wa kugombea.
Nafikiri haya maneno ya Nape, yako very clear au ni mimi peke yangu ninayaona tofauti, kwamba ni NEC peke yake ndiyo wenye huu uamuzi na sio Nchimbi na kamati zake, au?
Yameshaanza tena mie yangu macho tusijepata Ipyana mwingine....maana nasikia huyo Nchimbi ameufanya UVCCM kama mali yake! Tena nasikia anayo nia ya kuja kugombea uraisi baadaye.Nape kaza buti ndiyo hivyo tena umeshayavulia maji nguo...
said Mtanda is the the best from all
But who is he? what makes him the best?said Mtanda is the the best from all