Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,589
- 9,326
Serikali inachomaje masoko kwa kufaidika nini au kwa madhumuni gani?Umeandika kama layman.Haya masoko huwa yanachomwa moto na serikali na habari huna.
Usiku huwa hakuna kabisa magari wala foleni barabarani lakini zima moto huwa hawaendi na wakienda huwa wanapaki tu na kupiga stori.
Pole kwa kuandika hadithi ndefu ambayo ni nonsense.