Sakata la Mafao: Serikali kukutana na TUCTA

Sakata la Mafao: Serikali kukutana na TUCTA

Hapo anasubiliwa mtukufu aonyeshe hisia/msimamo wake juu ya hilì suala, na kama huo msimamo ukiwa ni kuwaunga mkono watumishi basi litazuka kundi ambalo litataka hata kuandamana ili kuunga juhudi za mtukufu hata wale wabunge wa chama cha mtukufu watakuwa upande wa watumishi
 
Ester alipoibua suala hili wafia chama wa mtaa wa Lumumba walimuita mnafiki, malaya, amechuja nk. Hebu leo wajitokeze japo wamuombe radhi.
Mkuu nikumbushe, hivi Ester alikanusha hizi tuhuma? Kama hakukanusha tumueleweje, kwani kunyamaza ina maana yake.
Je, kuna haja ya kuacha kujadili mada, na tuanze kujadili mambo kama haya ya Lumumba na Ufipa...
Aslam-aleiku
 
Wewe ndiyo umetoka nje ya mada [emoji40][emoji850]
 
Kivipi mkuu., KBM amenukuu gazeti Mwananchi (Des.15) likieleza Waziri Jenista amesema Serikali iko tayari kukutana na TUCTA kuhusu sakata la mafao ya Wastaafu. Naona haya yanayojitokeza kuhusu vyama na nani alisema hiki, tunajiingiza kwenye siasa au kuna kuchafuana. Ni hilo tu... Aslam-aleikum
 
Mipango yao ni kulipa iyo 50% na sio 25%, wanatuzuga tu ili mwisho wa siku ionekane serikali ni sukivu inajari.., kwa nn ao TUCTA wasipendekeze ilipwe yote 100%.
 
Pesa ya kwangu, eti kisa nimekupa unitunzie ndo unipe nusu nusu pale ninapohitaji, huu si ubwetele na wafuasi wake.
 
N
Nasema 25% ni nyingi, ziwe 5%, tuna miradi mingi sana tunafanya, tujifunze kuchangia maendelo ya nchi, hiyo asilimia 95% iende kwenye miradi ya umeme, reli nk

Watu wajifunze kujitegemea siyo kulia kulia hapa. Hutaki piga mbizi...
Nahisi unayasema haya ukiwa umekeketwa akili.Hujui ni jasho lao?Hivyo ni haki yao?😡😡😡
 
Ester alipoibua suala hili wafia chama wa mtaa wa Lumumba walimuita mnafiki, malaya, amechuja nk. Hebu leo wajitokeze japo wamuombe radhi.
Hakuna Mfia Chama Lumumba kuna wafia Tumbo, taari washageuka na kikokotoo kikirudishwa cha zamani watakuja na ngonjera za serikali sikivu.
 
Siku tisa baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kuzungumzia malipo ya pensheni na kupinga kanuni mpya za kukokotoa malipo hayo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Jenista Mhagama amesema wako tayari kukutana na chombo hicho.

Tucta inadai mapendekezo yake kuhusu kanuni mpya za mafao hayakuzingatiwa na ilitaka mifuko yote ilipe kati ya asilimia 40 na 50 za mkupuo, tofauti na malipo ya asilimia 25% yaliyopo katika kanuni mpya

View attachment 968565

Chanzo: MWANANCHI, Desemba 15, 2018

Meeting with a toothless Tucta
 
Kifupi MAGUFULI aache kabisaa kucheza na zetu hasa sekta binafsi
 
Nasema 25% ni nyingi, ziwe 5%, tuna miradi mingi sana tunafanya, tujifunze kuchangia maendelo ya nchi, hiyo asilimia 95% iende kwenye miradi ya umeme, reli nk

Watu wajifunze kujitegemea siyo kulia kulia hapa. Hutaki piga mbizi...
Hujitambui na hujui kama hujitambui! Hao wastaafu ndio walioijenga hii nchi kwa jasho lao hadi unaikuta hivi! Lini unahama kwa shemejio ukajitegemee?
 
100% ni haki kabisa ili mstaafu akajiajiri na kutoa ajira. Kinyume chake tucta wajivue na vyama vingine vijiue tu kwani havina msaada!
 
Watumishi wa umma wanachotaka kusikia ni serekali kufuta mpango wake wakuwalipa asilimia 25 ya pensheni na siyo kukutana na serekali ambayo haikuwashirikisha watumishi wa umma wakati inapanga kuwaibia pensheni yao.
 
niliwahi kusikia mtu mmoja anasema kuwa watumishi wa serikali hawakumchagua
 
Hujitambui na hujui kama hujitambui! Hao wastaafu ndio walioijenga hii nchi kwa jasho lao hadi unaikuta hivi! Lini unahama kwa shemejio ukajitegemee?

Ungekuwa unajitambua wewe tokea mswada unapelekwa bungeni mwaka jana mngepiga kelele kwamba ni sheria kandamizi, kwa sababu hamjitambui acha haki zenu ziendelee kuchukuliwa hadi mtakapojitambua. Na bado, kapige mbiz huko..
 
Back
Top Bottom