MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,889
Wewe unachangia nini zaidi ya bk7? Mko wengi mibichwa bapa.Nasema 25% ni nyingi, ziwe 5%, tuna miradi mingi sana tunafanya, tujifunze kuchangia maendelo ya nchi, hiyo asilimia 95% iende kwenye miradi ya umeme, reli nk
Watu wajifunze kujitegemea siyo kulia kulia hapa. Hutaki piga mbizi...