Sakata la Madawa JKNIA: Mwakyembe acharuka!

Sakata la Madawa JKNIA: Mwakyembe acharuka!

Na Riz1 naye tunataka kusikia yumo ndani ya wasafirishaji no. 1 wa unga tz
 
Jaman hebu tujiulize tangu mwakyembe aishike ile wizara unga ulikua unapita,alikaa kimyaaaaa,leo ameibuka na kelele hizi baada ya kutokea nini???na pia unga haupiti airport tu,unga unapita hata BANDARINI sasa mwakyembe anapojifanya kukataa asipige picha na hiyo kamati ni unafki tu,nadhan hadi leo hii ilipaswa mkurugenzi wa viwanja vya ndege awe kwenye benchi,wakuu wa usalama pale air port wawe benchi,haya matamko hayana tija,kwani sisi hatujui kama nchi imechafuliwa huko abroad,tulitaraji kusikia basi walokua zamu siku ya kupita mzigo wa masogange na mizigo mingine walau leo wanajibu mashtaka kortini KWA UZEMBE,MWAKYEMBE ASITUZINGUE,MNAFKI KAMA ILIVYO KWA WANASIASA WENGINE,
 
Naanza kwa kumkosoa. Ina maana kama huo uwanja ungekuwa na jina jingine ingekuwa sawasawa dawa kupita? Ningemwona yuko serious kama angewabana hao waliorubusu hizo zilizopita na kuingia kwa kiasi kikubwa. Agangamae pia na alyeruhusu twiga kupindishwa shingo hadi akaingia kwenye ndege. Short of that ni wimbo mbaya kwenye masikio yangu. He should tell us kwa nini ndege ya jeshi la nchi ya kigeni iliweza kutua na kuchukua twiga. Aweke bayana huu mtandao kwanza. It is a syndicate.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

KINAuche yaan nami ndo najiuliza kama wewe,na hapa ndo napoona wanasiasa wanapoamua kufanya kaz bila weledi,wao watu wa kuropoka tu,uwanja wa ndege huo ndo kichochoro cha wauza unga nae yupo wizaran kwa muda mrefu ndo anaibuka leo???
 
Last edited by a moderator:
we mtoa mada unasema uongo, ni mabilion sio mamilioni! acheni ujuha nyie magamba!
 
mbona kazi raisi sana, fukuza wote waliokuepo kazini siku madawa yaliondoka na watasema aliewapa rusa ya kuachia mzigo upite.
 
Bado sijaridhishwa hii ni kauli ya funika kombe. Angesema amechukua hatua gani si kuishia kutoa vitisho kwa kamati mpya. Mie binafsi nimepoteza imani na huyu ndugu katika eneo la ulinzi katika viwanja vya ndege na bandari
 
Hivi vitu vya ajabu sana. Eti uwanja wan ndege kuna usalama wa Taifa- kichekesho kweli kweli. Usalama wa Taifa ulikuwa Enzi za mwalimu, sasahivi ni usalama wa wauza unga- mateja wa CCM. Nchi inaweza kupinduliwa yakiwa yamekodoa macho tu!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kwa upande wangu nashangaa wahusika wa JKNIA wanaosimamia ukaguzi kwanini wasianze wao kuchukuliwa hatua kwa kuwafukuza kazi ndipo mambo mengine yafuate. Kwani ukiwaacha wataendelea kupanga succession ya walarushwa ili hata wakibadirishwa wataleta jamii hiyohiyo. Mimi ni mdau wa kusafiri safari za ndani hapa siku moja jamaa yangu alibeba perfume kachupa kadogo tu wale jamaa wa airport walikaona wakachukua kwamba hairuhusiwi abiria kusafiri na kitu kama hicho. Nashangaa ni kwanini waone vitu kama hivyo lakini madawa hawayaoni huu ni utani serikali yetu haiko serious, huku madawa yanapitishwe kule KIA wanyama hai zaidi ya 100 walipitishwa.
Mwakyembe wewe endelea kukomaa na hawa jamaa kwani peke yako ndo umeaga kutoka kule kwako Kpinda/Matema/ama Lusungo kuja kutetea Tanzania bore ufe ukitetea haki kuliko ufe kwa kutetea mafisadi. Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania.
 
tutajie namba za hayo magari na vimemo vilitumwa lini ili tuweze kukuamini,vinginevyo huu ni umbea na majungu.

...sio lazima uamini lakini tanzania ni zaidi ya uijuavyo,utakalia kusubiri kuamini na wajanja wanazidi kutumia mianya ya watu kama nyinyi kufanya watakavyo na kupoteza ushahidi. kama unaona majungu endelea kutulia tuliii ukisubiri namba na vimemo hapa jukwaani utaona matokeo siku za usoni...
 
mbona kazi raisi sana, fukuza wote waliokuepo kazini siku madawa yaliondoka na watasema aliewapa rusa ya kuachia mzigo upite.

Kama alotoa ruhusa ndo alompa nafasi itakuaje si kazi rahisi we unaona mafanikio yeyote yapo kutokomeza hizo junk mkuu
 
Mwakiembe kama mngekuwa kumi tu CCM ingeshtuka usingizini na kulijali taifa kwanza, Sasa mpo wawili na wao 100 kulaladek, Mtandao utauweza?
 
...mwakyembe hutaweza kupambana pekeyako kama magogoni imekaa kimya,mwenzako magufuli pamoja na mikwala yote lakini vimemo vinatangulizwa magari ya wakubwa yaliyozidi uzito yanapita kamakawa...

Kumbuka kuwa, Mwakyembe ana ripoti magogoni.

Magari yepi ya wakubwa uliyoyaona wewe yamezidisha uzito bila kufata sheria? kwanini umekaa kimya siku zote na uje kuunganisha na hili la madawa?

Naona unatapika bila mpango.
 
hii biashara sidhan kama mwakyembe ataiweza ina a lot of money involved nadhan ndo mana amechukua caution approach ya kudeal na kudhibiti airport tu badala ya kudeal na kutafuta waliopitisha... ame act intelluigently maana kuwakamata wahusika kwa kweli sidhan kama ni kitu rahisi ivyo... these people are so connected and powerful.

Me nadhani mwakyembe yuko sawa!kama waziri wa uchukuzi airport ndio sehemu yake sahihi ya kuiongelea na kuidhibiti! Kuhusu kutafuta hao wauzaji ni kazi ya jeshi la polisi ambalo liko chini ya wizara ya mambo ya ndani!tulikuwa tunategemea mchimbi nae atoe tamko na mikakati thabiti ya jinsi walivyojipanga na sio propaganda!
In short well said mwakyembe!play your party!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kumbuka kuwa, Mwakyembe ana ripoti magogoni.

Magari yepi ya wakubwa uliyoyaona wewe yamezidisha uzito bila kufata sheria? kwanini umekaa kimya siku zote na uje kuunganisha na hili la madawa?

Naona unatapika bila mpango.

...faizaaaa acha masiala bhana, kwani hujui kunawengine wanaripoti magogoni si kwasababu wanatakiwa ila kwakuwa wananguvu huku mtaani so magogoni inaona aibu kiaina. mi natapika bila mpango kwasababu mambo haya yapo,niktapika kwa mpango lazima wanile kichwa,watoto wangu utawalea wewe..?...one thing i want to assure you faiza ni kwamba bongo sheria ni kwa wanyonge,wenye feza sheria inawaogopa,utake usitake...
 
Back
Top Bottom