...faizaaaa acha masiala bhana, kwani hujui kunawengine wanaripoti magogoni si kwasababu wanatakiwa ila kwakuwa wananguvu huku mtaani so magogoni inaona aibu kiaina. mi natapika bila mpango kwasababu mambo haya yapo,niktapika kwa mpango lazima wanile kichwa,watoto wangu utawalea wewe..?...one thing i want to assure you faiza ni kwamba bongo sheria ni kwa wanyonge,wenye feza sheria inawaogopa,utake usitake...
Wewe unauwezo wa kuwalea watoto wako? nakwambia huna, hizo habari za kuleana wapelekee washirikina na makafiri wasio amini Mungu. Sisi tunaamini kala aliyeltwa duniani ana rizki yake na wewe huwezi kuizuia wala mimi siwezi kuizuia, kuiongezea wala kuipunguza. Hali kadhalika kwa wanangu na wa wengine, sina uwezo wa kugawa wala kutafuta rizki. Rizki inajuwa anuani yangu nilipo na inanifata yenyewe kama ilivyo kwa wanao na kwako pia. Wewe binafsi yako huna uwezo wa kujitafutia rizki, inakutafuta wewe. Kumbuka hilo halafu ulete hoja zenye maana siyo hizo za rizki.
Dunia nzima kuna sheria na wanyonge siku zote ndio wanaolalamika kuwa wanaonewa na sheria wakati hizo shria zipo kwa ajili ya wanyonge. Kwanza, kwanini uwe mnyonge?
KUmbuka; "laws are there to be broken".
...hahahaaaaa ukiwazaa watoto kawaache barabarani riziki yao itawafuata,hapo ntajua unamaanisha unachosema lakini kama unajenga nyumba kwa taaabu alafu unafikiria kuweka chumba cha watoto, then unachosema na real life ni vitu viwili tofauti (kumbuka riziki na kulea ni vitu viwili tofauti kabisa,ukitaka ntakufundisha ili uachane na mtazamo huo wa makafiri wasio jali). na kuwapo kwa sheria haimaanishi zitafuatwa kwa manufaa ya wanyonge. kumbuka the way unaitafsiri sheria ndivyo itakavyotumika. na ndo maana mpaka leo bongo rais hashitakiwi, kwani yeye mungu..? mbona kwingine wanashitakiwa na wanafanya kazi zao kama kawaida. na unyonge utake usitake,kwa mtu anaye weza kumanipulate sheria kwa rushwa lazima akunyanyase tu hata kama wewe maskini jeuri,wangapi wamekufa na haki ni yao ktk kesi...
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]Kwenye thread kama hizi zenye manufaa kwa nchi yetu kamwe hutaona comment ya misukule ya ccm ikiongozwa na mfanyabiashara mkubwa kama wafuatao' hatachangia kabisa ila ngoja waone uzi unaomuongelea Dr Slaa,Mbowe na Chadema utafikiri wamekataliwa
Ritz
Hamy-D mke wa bosi
ZeMarcopolo
Habariyamujini
Mafilili
Uncle Deo
Scramble
FaizaFoxy drug muller
Radhia Sweet
Nape
Chama
Chris Lukosi
Chilisosi
Mtela Mwampamba
Juliana Shonza,hawa wawili wa mwisho wamebadili ID wanaingia kwa majina mengine ili wasijulikane
Kwa sababu unagusa maslahi yao na sababu ya wao kukaa mjini hawatachangia make umewatia kidole machoni
WAZINGU WA UNGA NYIE OMBENI CCM ISITOKE MADARAKANI KAMA MAKAMBA JANUARY ALIVYOSEMA,LAAKINI WAKITOKA MTAKOMA MPENDE MSIPENDE
Wacha kuwaacha barabarani, wengine wanazaa na kabla hawajaona watoto waliowazaa wanakufa. Ni nani anae wapa hiyo rizki? Baba'ko? au mama'ko? Ikiwa wewe mwenyewe huna nguvu ya kujipa rizki yako, ukifyratuka kufungiwa kula hata ikitiwa kwenye pipe ya puani haiingii. Fikiri!
....oooops tatizo unajadili matokeo na si couse of action,mwanadamu ana sehemu yake katika kila jambo, hivyo huwezi kukimbia wajibu wako kwa familia na watoto kwa kumsingizia Mungu,NEVER,lazima uwajibike kwa kufanya kazi na kutengeneza kipato na ndo maana Mungu anasema asiyefanya kazi na asile. Kwanini Mungu anataka tufanye kazi..? je kazi ni mazoezi ? kwanini anahusianisha kazi na kula, kumbuka alisema mtakula kwa jasho, that means ujira na mapato yatokanayo na kazi zetu ndo yatumike katunza na kulea familia. tusikae kama kama wajinga eti tunajidai wanyenyekevu wakati maandiko yapo wazi kabisa.
Na kwa habari ya kufa, kwani wewe umekufa ? mbona unazungumzia exeptionals, na je mama na baba wasipokufa huwa wanabweteka ete riziki inatoka kwa Mungu ? hayo kwangu ni mawazo finyu.Simama fanya kazi ,Mungu anasema ataibariki kazi ya mikono yako na sio mawazo yako au unafiki wa kujifanya unamuheshimu wakati maagizo yake unayakwepa. Fanya kazi acha kukwepa wajibu uliopewa na Mungu, lea watoto nenda katafute riziki yao acha uvivu....