huu ni usani wa ajabu na ni kuonesha kuwa hakuna mwenye nia ya kuangamiza huu mtandao bali tunaweka ulinzi tu bila kujua ni nani aliye nyuma ya shughuli hii haramu?
"eti wakipitisha tena madawa mjiondoe wenyewe haraka"PUMBAVUUUUUUUU!!!!!
yaani mtu anapitisha halafu eti unamwambia ajiondoe...si anajiondoa halafu mnaishia hapo!!!!mnauhakika gani kwamba hiyo kamati yako hakuna hata mmoja wapo ambaye anahusika na huu mtandao au wewe mwakyembe ni mmoja wa hawa watu?
Je umemuuliza jk(kama una uwezo lkn),kuwa majina ya wauza unga aliyaweka wapi mpaka sasa wanatamba na hakuna wa kuwachukulia hatua na badala yake mnajifanya kuweka kamati!!!!!hakuna nchi ina viongozi wapiumbavu kama hii,wote nyie ni mapretendaz wakubwa,kwanini msing'oe mzizi mnang'ang'ana kukata matawi huku mkiendelea kumwagilia maji??????
Nani amewaloga enyi mliojiita mashujaa wa taifa mpaka mkaamua kuziweka akili zenu kwenye mifuko yenu huku mkitembea barabarani?????hivi inakuingia akilini kweli mtazuia madawa yasitoke nchi,je mnajuza yanaangilia wapi au mnataka kutuambia kuwa tanzania tunazalisha hayo madawa,au sasa mmeamua kuwa yaingie kwa njia hizo hizo za panya na yasambazwe humu humu bila kutoka nje ya nchi,je hamjui kuwa magari yanapitisha hayo madawa yakiwa yamehifadhiwa chini ya magari kwa kutumia mipaka ya kinyemelea,hivi mipaka ya mitomoni,kasesya,mosi,namanga,horohoro,horiri,upande wa kagera na kigoma hivi ni salama kiasi kwamba madawa hayawezi kupita huko?
acheni siasa taifa linaangamia jamani.