Mimi ni mtu pia ila sijatuhumiwa na chadema ndo mana nikauliza uliposema chadema inatuhumu kila mtu, ulikuwa na maana gani?? mbona mm sijatuhumiwa?? au mm sio mtu?? Afu sikujua, kumbe ni wewe?? Mimi nilijua mtu! samahani!kwani we ni nani.
Unganisha wewe, sasa hivi mnatafuta pa kuficha nyuso zenu. Wenzio wamekimbia humu leo, umebaki peke yako. Wapigie simu basi waje kukusaidia na hii aibu mnayopata
unajua kupambana na chama kilicho makini na wanasheria wake ni kazi ngumu,ccm waliiua nccr kwa mbinu dhaifu kwakuwa hawakuwa na wanasheria bingwa kama wa chadema,mm ni mfuasi wa cuf ila kwa hili move la chadema,ccm wamechemka,na hili lilivyozito kwa taifa na chadema jinsi navyowaona wanalipeleka,watalimaliza kitaalam bila ku2mia nguvu,na kwa muono wangu hili likipangulia basi ccm watakuwa wamejizika rasmi maana ni mbinu kali waliyoitumia japo imeng'amuliwa na kila ki2, cna mengi zaidi ya kusema chadema nimemanyenyulia mikono,maana kingekuwa ni chama kingne basi hata ofc yake isingekuwa inaonekana zaidi ya jengo tuu,kama ni wanasheria basi chadema ilijiimalisha vibaya zaidi ya vwama vyote.
Kwa siku kadhaa kumeibuka kundi fulani la viongozi wa BAVICHA likijinadi kuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa aondoke madarakani kwakuwa anamiliki kadi ya CCM, na kwakuwa imefahamika kuwa hilo kundi la BAVICHA limepewa pesa ili wasambaze propaganda juu ya Dr Slaa kwakuwa Dr Slaa ndo kaonekana mwiba wa CCM ili Dr aondoke ili ccm wapumue?
Kwa sisi vijana ambao ni BAVICHA tunalionaje! Je hilo kundi fulani la viongozi wa BAVICHA wako sahihi kwa kumshutumu Dr Slaa aondoke madarakani au kwakuwa tunaamini Dr Slaa ndo tegemeo letu ndani ya Chadema hana kosa la kujiuzuru!
Nani inabidi aondolewe sasa hivi kati ya hawa wawili, ni hili kundi la BAVICHA linalodaiwa kutumiwa na ccm au Dr Slaa??
Bwana weeeee!!! magamba wametulia mbaya si Nape wala Chemba sasa hivi wameinamisha vichwa kama wameshikwa ugoni. Walitegemea kulitumia hili sakata ili kuboresha chama chao, badala yake wameishia kukicost chama chao na kuzidi kukipotezea mvuto kwa jamii. Mbwembwe zao zimeishia kukiponza chama chao. Kwa hili lazma chama chao kitawashukia tu na misifasifa yao itaishia hapo.Magamba, mnalo hilo mambo yamesha wachachia
chanzo: Tanzania Daima
Mimi sina wasiwasi hata kidogo kwamba hii sinema inawavua nguo ccm muda mfupi ujao.
Walidhani wao wajanja lakini wamepatikana mchana kweupe.
Pigeni kazi mawakili wetu tuna imani kubwa sana nanyi lakini pia ueledi wenu unatupa matumaini makubwa.
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Mkuu nitoke kwenda wapi?.Leo Ng'wamapalala anatafuta mlango wakutokea.
Mkuu yaani CCM wanamtegemea Mwigulu ili kujinasua katika Anguko lao kitu ambacho hawawezi kufanikiwa sababu huyu jamaa ana mbinu za Kishamba kabisa ambazo hazina kichwa wala miguu.
Kwani tunalaumu chama au individual people?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mchanganyiko huu unapaliliwa kuwa na 'disfunctional state'.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!