Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Anayehusika ni nani ?Yeah but kuhusika haitoshi

WauajiAnayehusika ni nani ?
Adadi Rajabu???Unamjua au unamuona tu kwenye picha?Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.
Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail
CC JPM
Kwa hiyo wanaokufa kule sio watu, si ndio.Hizi ni dharau zilizo pitiliza.Mtakuja kula maneno yenu.Mwigulu atoke kisa kibiti ?
Kabla huja suggest kwamba apewe Wizara ya Mambo ya Ndani,jiulize kwanza kwa nini alitolewa Jeshi la Polisi wakati huo.Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.
Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail
CC JPM
Adadi Rajabu nae ni Mwanasiasa hakuna kitu hapo.Adadi Rajabu???Unamjua au unamuona tu kwenye picha?
Mwigulu ni katika mawaziri na wabunge vilaza mno kuwahi kutokea katika nchi hiiKwanza hana analofanya ajiondokee tu. To me kisiasa amejimaliza kabisa.Kuondoka haondoki kufanya kazi hafanyi,he is so indecisive.Sijui kuna nini nyuma ya pazia maana Rais naye hamtumbui.
Hivi kweli tumefika hapo, I don't think so.
Alipokuwa DCI alifanya nini cha maana? acheni kumpamba mtu for personal gains!Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.
Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail
CC JPM
Kweli kabisa,ndio maana hata nchi nyingine huwa Waziri wa Ulinzi ni mjeda.Hapa tungefanya hivyo ingesaidia kiasi chake,bila kuhusisha siasa kwenye mambo ya ulinzi.Mwiguluuuu Leo yamekugeukia kweli CCM kiboko,
Ndio mazala ya siasa za CCM haya..mmateuana kwa kuangalia ukada leo mnalalamikia mazara..
Waziri wa mambo ya ndani anatakiwa na uzoefu wa maswala ya ulinzi na usalama, wako wazee kibao jeshini huko na usalama wa Taifa.
Waziri wa ulinzi Lazima mkongwe kutoka JWTZ na si vinginevyo.. Ukada usiwe sehemu ya uteuzi.
Hakuna haja ya Mwigulu kuachia ngazi avae uniform zake za kijani asongo mbele kupambana.niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Hii umeipata wapi mkuu?Amepigwa makofi huko, kavimba mashavu anauguza!