Sakata la Kibiti: Mwigulu Nchemba ni wakati wa kujitafakari na kujiuzulu ateuliwe Adadi Rajab

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,997
2,000
Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.

Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail

CC JPM
naunga mkono hojaaaaaaaaaaa
 
SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,635
2,000
_20170610_194242.JPG

Sirro tena
 
Mlanga

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,023
1,500
Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.

Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail

CC JPMKabla ya Mhe. Mwigulu hajawajibika au kuwajibishhwa,
ingekuwa vyema yeye kuwawajibisha walio chini ya mamlaka yake ili baadae kusiwepo lawama za kuwa mtu kaonewa /hakutendewa haki
 
SDG

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
7,635
2,000
Kuna anayevumilia kifo, hawa jamaa wapo serious!!!?

Ni kama yule aliyesema mwaka ule tulipokuwa hai tulikuwa tunajitolea bila kinyongo
Yaani anasema tuwe na Subira,mauaji yameanza kabla hajawa RPC DSM
 
Namichiga

JF-Expert Member
Jun 1, 2017
291
500
Watu wanaoendesha mauaji pwani ni well organized syndicate,hivyo serikali inapaswa iwashughulikie kwa kutumia mbinu za kisasa za ushushushu ama ifanye nao negotiations kwa kuwashawishi waeleze madai yao na kuyafanyia kazi kwa haraka.ila kwa hizi branda na blahblah basi siku si nyingi watafanya tukio litakalotikisa nchi.Maana vyombo vya dola vinaonekana kukosa weledi kabisa,maana vinapiga,kutesa na kuwaua raia wasio na hatia,kitu ambacho kinazidi kuwaudhi wananchi na mwesho watawaunga mkono hao wauaji na kuwaona ndio mashujaa wao.Ikishafika hapo sitaki kutabiri nini kitajiri!
 
kisatu

Senior Member
Jan 16, 2015
150
225
Mwigulu ni katika mawaziri na wabunge vilaza mno kuwahi kutokea katika nchi hii

Hana na hajawahi kufanya lolote la maana

Kikwete alimpa shavu kwa unazi wa ccm na kuwakashfu upinzani bungeni akitokea back bench

Hana jipya zaidi ya hilo

Nina amini ni suala la muda tu huu mzigo watz tutautua

I trust in JPM when it comes to strong decision making
Kwanini?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,013
2,000
Kiatu kikubwa hiki!

editoon3june-jpg.522133

Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.

Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail

CC JPM
 
Attachments

  • EDITOON3JUNE.jpg
    File size
    38.4 KB
    Views
    177

kisatu

Senior Member
Jan 16, 2015
150
225
Mimi siku zote nasema mwighulu must go
Mmechelewa tayari keshaanza kumsifia mwenye mamlaka na kuanza hadi kuwatuhumu kina Werema utadhani yeye ni msafi kiasi hicho.
Pengine ndio janja yake ili mkubwa asimtumbue.
Hawa wanatakiwa kukaa bechi kwa maslahi ya Taifa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom