Sakata la Kibiti: Mwigulu Nchemba ni wakati wa kujitafakari na kujiuzulu ateuliwe Adadi Rajab

Adadi Rajabu nafasi yake katumikia jeshi kwa weredi kipindi ni mkurugenzi makosa ya jinai.Toa Mwigulu weka wenye taaluma.
 
DCI Adadi Rajab enzi zake na IGP Mahita kulikuwa na wizi sidhani km ataweza
 
Ni walewale, akiwahi kuwa DCI matatizo yalikuwa mengi tu ikiwemo kubambikwa kesi mbaya. mhm huko kibiti ni kuangalia wapi wamejikwaa kuliko unakodondokea.
 
Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.

Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail

CC JPM
Adadi Rajabu???Unamjua au unamuona tu kwenye picha?
 
Hii nafasi wanatakiwa wapewe wazee wangu hawa kwani wako vizuri sana, Mwigulu ni mwanasiasa anawaza Urais 2025. Kwa sasa yuko bize kujenga mtandao wake kushinda na JM.
Hawa wateuliwe kua wabunge na kisha wapewe uwaziri huo.
1.Gen Salum Kijuu,
2.Zelote Stepjen
 
Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.

Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail

CC JPM
Kabla huja suggest kwamba apewe Wizara ya Mambo ya Ndani,jiulize kwanza kwa nini alitolewa Jeshi la Polisi wakati huo.
 
Kwanza hana analofanya ajiondokee tu. To me kisiasa amejimaliza kabisa.Kuondoka haondoki kufanya kazi hafanyi,he is so indecisive.Sijui kuna nini nyuma ya pazia maana Rais naye hamtumbui.
Mwigulu ni katika mawaziri na wabunge vilaza mno kuwahi kutokea katika nchi hii

Hana na hajawahi kufanya lolote la maana

Kikwete alimpa shavu kwa unazi wa ccm na kuwakashfu upinzani bungeni akitokea back bench

Hana jipya zaidi ya hilo

Nina amini ni suala la muda tu huu mzigo watz tutautua

I trust in JPM when it comes to strong decision making
 
Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.

Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi , haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail

CC JPM
Alipokuwa DCI alifanya nini cha maana? acheni kumpamba mtu for personal gains!
 
Mwiguluuuu Leo yamekugeukia kweli CCM kiboko,

Ndio mazala ya siasa za CCM haya..mmateuana kwa kuangalia ukada leo mnalalamikia mazara..

Waziri wa mambo ya ndani anatakiwa na uzoefu wa maswala ya ulinzi na usalama, wako wazee kibao jeshini huko na usalama wa Taifa.
Waziri wa ulinzi Lazima mkongwe kutoka JWTZ na si vinginevyo.. Ukada usiwe sehemu ya uteuzi.
Kweli kabisa,ndio maana hata nchi nyingine huwa Waziri wa Ulinzi ni mjeda.Hapa tungefanya hivyo ingesaidia kiasi chake,bila kuhusisha siasa kwenye mambo ya ulinzi.
 
niwakati wa Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani Mwinyi , kule Shinyanga.
Hakuna haja ya Mwigulu kuachia ngazi avae uniform zake za kijani asongo mbele kupambana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom