Mods,
Ingekuwa vema kichwa cha habari cha hii thread kibadilishwe maana kinaondoa hadhi ya JF kwa kujaribu kupamba yanayojadiliwa ndani yake. Tunaongelea mgogoro uliopo na sio jinsi wanavyojaribu kutatua maana wala hatujui kama wanajaribu kutatua.
Kwa sasa kichwa cha habari kimefanana-fanana na vile vya magazeti ya mipasho au uhuru ikiandika kuhusu Lowassa. Hebu kibadilisheni.
Mods,
Ingekuwa vema kichwa cha habari cha hii thread kibadilishwe maana kinaondoa hadhi ya JF kwa kujaribu kupamba yanayojadiliwa ndani yake. Tunaongelea mgogoro uliopo na sio jinsi wanavyojaribu kutatua maana wala hatujui kama wanajaribu kutatua.
Kwa sasa kichwa cha habari kimefanana-fanana na vile vya magazeti ya mipasho au uhuru ikiandika kuhusu Lowassa. Hebu kibadilisheni.
Mwafrika,
Mkuu wangu ktk hili umekosea sana kwa sababu mimi simjui huyo Halima Mdee ndiye nani! wala sina mazoea wala ukaribu naye iweje nianze kufikiria kwamba wewe Mwafrika ndiye Mndee.
Mkuu utanisamehe lakini nakuomba sana unisikie hapa.. Tatizo la hoja zako nyingi zinahusu WATU yaani unatumia muda mwingi kuchambua na kufikiria watu wakati sisi tunazungumzia issues.
Sijali wewe ni nani uwe Mbowe, Dr.Slaa au Mndee mimi sina mshirika katika habari yoyote zaidi ya kusoma hoja na kuzichanganua ktk mtazamo wangu. Mara kibao nimemkorofisha Zitto humu, nimezungumza mambo mengine kinyume cha ustaarabu pasipo kufikiria huyu ni nani isipokuwa maadishi ya mhusika.. That's me kwa hiyo unapohisi ama kudhani kwamba hata mimi nimenunua hiyo propaganda mkuu wangu inaonyesha wazi jinsi unavyojikisia mwenyewe.
Mimi nipo kwa jina langu, Zitto yupo kwa jina la ke huyo Omar nasikia pia yupo kwa jina lake isipokuwa wewe tu.
Na kama sikosei ni wewe uliyetufahamisha kuhusu huyo Omar ni nani na wana uhusiano gani na Zitto, kulikuwa na haja au sababu ya kufanya hivyo!..Pengine hufahamu kwamba sisi wengine tunapenda sana kuyaona hayo majina bandia kwani unaweza kurusha madongo pasipo kuonea aibu mtu, Nitakushauri tu mkuu wangu hizi habari za kutoa ID ya mtu achana nazo kwani wewe mwenyewe unaelewa vizuri hasara zake..
Halafu huu ubishi wenu mkuu wangu wala hauna maana hata kidogo, yaani tunakusomeni kama vile tunatazama horror movie - Inatisha.
Nimerudia kusoma sikuona kitu labda kiweke wewe mwenyewe hapa.Mkandara, rudia tena kusoma nilichoandika na utaona point yangu
Mkuu wangu nimeandika kuhusu Mkapa, Nyerere na hat Mussa member kwa issues ambazo hata wewe unazifahamu, Mtanzania yeyote anaweza kurelate na akachangia kimawazo. Jina la mtu ni kitambulisho cha wahusika habari nzima tunayozungumza kama vile tunaposzungumzia Ufisadi na majina ya kina Lowassa, Chenge, Rostam, Patel hutokea.Ukiongea habari za siasa, muda mwingi utakuwa unaongelea wanasiasa (watu kama unavyowaita wewe). Nimekusoma sana hapa ukiongelea kuhusu Mkapa, Nyerere, au yule guy aliyeteka ndege wakati wa Nyerere.
Mku uloyasema mwanzo yalitosha kuelewa msimamo wako lakini sasa umefikia kumvua nguo.. Kama humtaki mkeo mpe taraka yake lakini kuanza kumdhalilisha kana kwamba kuna mtu ka doubt maamuzi yako ni kujiharibia zaidi msimamo wako. Huu ndio ushauri wangu kwako.Naona unataka kusahau kuwa kwa miaka yote hii (mitatu), nimekuwa (kwa nguvu zote) nakuwa upande wa zitto katika karibu kila kitu. Usidhani tu kuwa hili la kupingana naye limetokea tu angani. Mtizamo wangu kuhusu Zitto umebadilika sana kutokana na aliyofanya (au kutofanya) kwa siku za karibuni.
Ndio hutakuwa na hofu ya kusingiziwa majina mengine.Ukishajua jina langu then what?
Maadam yeye hakusema anatumia jina lake sioni umuhimu wako wewe kusema hivyo, wapo watu wanajiita Kikwete, Mkapa na kadhalika usitake kunambia pia ndio wao.. Zaidi ya yote imekuwaje wewe uruke uliposikia jina lako kuhusishjwa na Mdee lakini machungu hayo usiyaone kwa Omar!. Maadam Omar hajasema mimi ndiye fulani matumizi ya jina yatabakia kama yalivyo na sii kumpekua mtu. kazi anayofanya, mahusiano yake na watu wengine as iof huyu Omar ndiye kichwa cha habari.. Hata kama kajitambulisha bado watu hapa tunasoma mchango wake ktk isuue hakuna mtu anataka kumzungumzia maisha ya mchangiaji.. Hakuna mtu anayetaka kumjua Omar nani na hatuongezei kitu wala kupunguza, hatumjui, hatujui na wala hakuna sababu, he is a non issue, kwa hiyo maelezo yako yanakosa sura kabisa mkuu wangu.Mkandara,
Naona hapa umeamua kupingana na ukweli. Mimi sijawaambia Omar ni nani hapa. Omar anatumia jina lake na haikuhitaji mimi kumtambulisha. By the way, kabla sijasema chochote kuhusu Omar, Zitto alimtambulisha hapa JF kwa kuwaambia wana JF mambo yote makubwa aliyofanya Omar - likiwemo la kufanya kazi na SAS.
Hayo mengine inaonekana unafanya selection tu ya nini cha kuamini na kipi cha kutoamini
Mwafrika,
Mkuu hatubishani neno kwa neno nilichoandika kama hukukielewa wewe na unataka kunitazama mimi basi tunazishe kitu kipya..Hata hivyo nitakujibu kwa haya.
Nimerudia kusoma sikuona kitu labda kiweke wewe mwenyewe hapa.
Mkuu wangu nimeandika kuhusu Mkapa, Nyerere na hat Mussa member kwa issues ambazo hata wewe unazifahamu, Mtanzania yeyote anaweza kurelate na akachangia kimawazo. Jina la mtu ni kitambulisho cha wahusika habari nzima tunayozungumza kama vile tunaposzungumzia Ufisadi na majina ya kina Lowassa, Chenge, Rostam, Patel hutokea.
Mku uloyasema mwanzo yalitosha kuelewa msimamo wako lakini sasa umefikia kumvua nguo.. Kama humtaki mkeo mpe taraka yake lakini kuanza kumdhalilisha kana kwamba kuna mtu ka doubt maamuzi yako ni kujiharibia zaidi msimamo wako. Huu ndio ushauri wangu kwako.
Ndio hutakuwa na hofu ya kusingiziwa majina mengine.
Maadam yeye hakusema anatumia jina lake sioni umuhimu wako wewe kusema hivyo, wapo watu wanajiita Kikwete, Mkapa na kadhalika usitake kunambia pia ndio wao..
Zaidi ya yote imekuwaje wewe uruke uliposikia jina lako kuhusishjwa na Mdee lakini machungu hayo usiyaone kwa Omar!.
Maadam Omar hajasema mimi ndiye fulani matumizi ya jina yatabakia kama yalivyo na sii kumpekua mtu. kazi anayofanya, mahusiano yake na watu wengine as iof huyu Omar ndiye kichwa cha habari.. Hata kama kajitambulisha bado watu hapa tunasoma mchango wake ktk isuue hakuna mtu anataka kumzungumzia maisha ya mchangiaji.. Hakuna mtu anayetaka kumjua Omar nani na hatuongezei kitu wala kupunguza, hatumjui, hatujui na wala hakuna sababu, he is a non issue, kwa hiyo maelezo yako yanakosa sura kabisa mkuu wangu.
Mwafrika, Mkuu wangu mimi sii mtoto mdogo wa kuandika vitu pasipo kuvitazama kwa umakini.. Rudi nyuma uone jinsi gani wewe umepelekana na Omar lakini kila mahala alotajwa ni Zitto while yeye hakusema kitu kwako. Page kibao yaani itakuwa utoto kuanza upya kurudi kule.
Hata hivyo huu ulikuwa ushauri wangu tu kwako, Mambo ya Zitto na Wachagga tumeshayasahau kitambo... kasema alichosema kwa sababu yeye yumo ndani ya chama na pengine yamemkuta kweli. Sasa kama wewe ni mmoja wa wahusika ni vuziri kuja hapa na kutuelezea ukweli ni upi kinyume cha maelezo ya Zitto..
Hata maswala ya Dowans, Buzwagi na kamati ya madini kila mmoja wetu ameeleza kutoridhika na baadhi maamuzi yake. wewe ni mmoja kati yetu lakini mbona sisi hatukufika hatua hiyo! ina maana wewe una uchungu kuliko sisi?.. laa isipokuwa tunabakia kwenye issue husika. Tukirudi na maswala ya Tanesco kutumia mitambo ya Dowans, ingiza hoja yako, Buzwagi chomeka na swala la Kamati ya madini mmalize kabisa..
lakini hapa tunazungumzia matatizo ambayo CHADEMA inajaribu kuyatatua lakini badala yake Zitto ndiye amekuwa kichwa cha mada nzima, ndipo nilipoingia kati kuondoa ukungu ule ulokuwepo.
Mwafrika,
Hivi kweli unanisoma au?.. mimi nakushauri tu maandishi yako hayazungumzii issue hii isipokuwa Zitto na kundi lake ambalo wewe unalijua..
Kuna sehemu nilisoma ukisema sijui Kafulila alianguka ghorofa ya kumi akaenda kwa Kitila Mkumbo INAHUSU? Yaani hizi habari zote ni udaku udaku mtupu mkuu wangu achana nazo..Looh! watu wengine jamani.
Mwafrika,
Mkuu wangu bado hunielewi na hutanielewa kamwe.. maelezo yangu ni kukuasa wewe kutozungumzia WATU..iwe kaanzisha nani haihusu wewe kuzungumzia habari za watu kwa sababu sii wewe wala ligi yako..Ur above all that, sikutafuti kwa mabaya, wewe ndio hunisomi na inanipa wakati mgumu kunedelea kuzungumzia kitu kile kile. Kila napokusoma inanipa picha kwamba upo hapa JF KUKIPAKA..jambo ambalo linanipa kujiuliza kulikoni? Je kuna mahusiano mabaya baina ya Mwafrika na Zitto au Kafulila maanake sii issue tena ila wao kama binadamu.
Ni wewe uloandika Kafulila alipoanguka alikwenda kwa Kitila Mkumbo..
Hii habari umeindeleza na kuikuza wewe, kumzungumzia Kafulila na hata kuingiza kina Kitila mahala ambapo hata sielewi inahusiana vipi na mada hii. Binafsi napokusoma unanipa picha kwamba wanaoharibu chama ni Zitto na kundi lake..Ni imani yako na nitaiheshimu mawazo yako ingawa mimi sioni zaidi ya kuwa maamuzi ya Zitto kujiunga na kamati ni kukiwezesha chama kuingiza sera zake, maelezo yake kuhusiana na Dowans ni yake binafsi na alisema hivyo, sidhani kama chama kilitoa agizo au msimamo wake kuhusiana na Dowans na Zitto akafanya kinyume..Hapafu nakumbuka vizuri Dr. Slaa mwenyewe alikuja hapa kijiweni na kusema anapendekeza kamati ya mahesabu na ile ya madini wakutane kama alivyosema Zitto.. ikiwa na maana hata yeye hakupinga ushauri wa Zitto kukodisha mitambo ya Dowans..Sijakusikia ukimrukia Dr. Slaa au kiongopzi mwingine wa Chadema kwa kutotoa msimamo wa chama kuhusiana na Dowans.
Kisha haya ni mambo ambayo hayawezi kukivuruga chama hata kidogo..mambo yanayokivuruga chama ni pale mnapozungumzia watu, fulani mbaya, sii mtu wa kumwani ukarudisha maisha yao ktk picha na kadhalika. Yaani maneno yakirudiwa mara nyingi watu huamini..Kusema kweli kutokana na maneno yako kuna vitu najiuliza kuhusiana na Zitto jambo ambalo sidhani kama namtendea haki.
Mwafrika,
Mkuu hii itakuwa mara yangu ya mwisho kukuelezea. Huko nyuma Bi. Asha Abdala kazungumzia issue na kuzieleza ipaswavyo. Nilimfuatilia kwa makini sana na kusoma mengi ambayo yamekuwa majibu kwa tuhuma nyingi sana.. na kama kulikuwepo na ushawishi wake kuhusiana na mtu yeyote yeye alikuja na swali kumuuliza mhusika ukweli ni upi..
Mkuyu mkubwa alikuja na hoja zake ambazo ni mtazamo wake yeye Mkuyu mkubwa lakini toka hapo wewe ukaiweka vita yako kwa Zitto na Kafulila badala ya kujibizana na huyu Mkuyumkubwa. Umefikia kusema mengi sana ambayo binafsi sikuyaona mahusiano yake na mada hii. Bi. Asha alikuwa nawajenga wanachadema mbele ya tuhuma nzito za kina MkamaP, Mkyumkubwa na wengineo.
Tofauti hiyo nmdio imenisukuma mimi kujiuliza mengi na huwezi kunambia huna msuguano baina yako na Zitto au kafulila. Mtu yeyote anayekusoma anajua wazi kabisa kwamba huwapendi Zitto na kundi lake ambalo mmelipa ubatizo kuwa ni maharamia.
Na kama unakubaliana na kipande changu cha mwisho, inakuwaje wewe useme mchawi wa Zitto ni Zitto mwenyewe na kundi lake ukawataja kwa majina, wakati sii wao waliosema lolote kuhusiana na Mdee ila mtu wa nje kabisa ya chama hicho au kundi hilo. Mkuu wangu kila thread inayowahusu watu hawa umekuwa ukikipaka tuuu pasipo kufanya utafiti japo kidogo..
Hata hivyo tuyaache hayo mimi nimekushauri, unaweza kuendelea ni haki na Uhuru wako kuandika Upendavyo..
acha matusi kumbuka kila neno litaulizwa na halitapita bure by jesusLeo unangaika toka asubuhi kama nguluwe alie kwenye joto anaehitaji kupandwa