Sakata la JF na Serikali limeishia wapi?

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
536
Wadau, mwezi Februari 2008 baadhi yetu tulipigwa na butwaa pale Serikali ilipotangaza kuupiga marufuku mtandao wa JF ambapo mwazilishi/waanzilishi wa JF walikamatwa na Polisi Jijini Dar es salaam kwa mahojiano. Si Moderator wala Polisi/ Serikali ilitoa kauli kuwa JF na Serikali/Polisi walimazlizana vipi.

Ni vizuri wadau tupate updates kuwa sakata lile liliishia wapi maana hatujasikia kesi kutajwa wala watuhumiwa JF kufujushwa Mahakamani.
 
Si unajua polisi wetu nimakada wa chama kijani?

Walikurupuka tu kukamata waanzilishi wa jf na kufungia jambo forums wakidhani wamefanikiwa lakini kumbe wakawa wanazalisha jamii forums. Na tena waligundua hawakuwa na lolote la kupeleka mahakamani maana baadaye wangelipa mabillioni ya fidia.

Hii ndio polisi ya makada wa chama wanavyofanya.

Hakuna kesi.
 
Athumani hamisi wa daily news angekwepo angetuambia alikuwaje manake yeye ndio alienda kuwapekuwa siku hiyo
 
Wadau, mwezi Februari 2008 baadhi yetu tulipigwa na butwaa pale Serikali ilipotangaza kuupiga marufuku mtandao wa JF ambapo mwazilishi/waanzilishi wa JF walikamatwa na Polisi Jijini Dar es salaam kwa mahojiano. Si Moderator wala Polisi/ Serikali ilitoa kauli kuwa JF na Serikali/Polisi walimazlizana vipi.

Ni vizuri wadau tupate updates kuwa sakata lile liliishia wapi maana hatujasikia kesi kutajwa wala watuhumiwa JF kufujushwa Mahakamani.

mimi kwa mtazamo wangu ninaona walimalizana vizuri coz JF is health and kicking....yaliyopita si ndwele tugange yajayo
 
Athumani hamisi wa daily news angekwepo angetuambia alikuwaje manake yeye ndio alienda kuwapekuwa siku hiyo

Mkuu karibu naona umeamua kuzaliwa mara ya PIli? kulikoni? Kwani huwezi badili jina bila kucreate new profile?
 
Wadau, mwezi Februari 2008 baadhi yetu tulipigwa na butwaa pale Serikali ilipotangaza kuupiga marufuku mtandao wa JF ambapo mwazilishi/waanzilishi wa JF walikamatwa na Polisi Jijini Dar es salaam kwa mahojiano. Si Moderator wala Polisi/ Serikali ilitoa kauli kuwa JF na Serikali/Polisi walimazlizana vipi.

Ni vizuri wadau tupate updates kuwa sakata lile liliishia wapi maana hatujasikia kesi kutajwa wala watuhumiwa JF kufujushwa Mahakamani.

Kutojibu kunaweza kusababisha wengi wasielewe WHAT HAPPENED THEN?

Si kama anavyosema mkuu hapo juu hatukutoa taarifa ya nini kilijiri, Mwanakijiji pamoja na mimi (Invisible) tuliwafahamisha kilichoendelea baada ya purukushani ile; soma hapa:

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/14906-oh-thanks-to-god.html

na hapa pia:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nding-wanaharakati-waitetea-jambo-forums.html

Nyingine alianzisha Mwanakijiji sijaipata, you can search mkuu
 
Thanx Mkuu..
Kumbe mmetoka mbali sana na hii safari!
 
oooh my nimepitia post za 2008 wakati huwo siku member kumbe hali ndo ilikuwa kizungumkuti namna hiyo..

Nimepata uchungu mkubwa moyoni..

Thanx to Lord Jesus yote yamepita
 
Those were challenges my dears Invisible and the team. See how stronger they are making you now! Long live Jamii Forums

After Crisis huwa kuna Victory, ushindi ndo huu..............
 
Back
Top Bottom