shadow recruit
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,844
- 384
- Thread starter
- #161
Hakuna anachokijua huyo mkuu zaidi ya kuokoteleza maneno kwenye kijiwe cha kahawa, naye anakuja hapa kujaza server tu. mimi huyu jamaa yetu wa Kigoma anatuuzi sana sisi watu wa kigoma. Anatumika hadi aibuKumbe inawezakana msema kweli akasema uwongo
Ebe mkuu toa uthibitisho kwa ule mkataba wa iptl una ufisad ?
Usikurupuke mkuu chambua mambo kwa kina na so kusoma headng tu then ndo uchangie utachekwa mkuu mbele za watu