Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Mi unadhani ni wakutumika na nani,nyie si ndo mmejipanga kuja hapa kuwasafisha wakubwa zenu wengine kwa Id mpya kabisa ambazo hazijamaliza hata wiki yaani mko hapa kwa kazi maalumu. Na utaka kusema nani alokimbia shule? Mimi,Kafulila,CAG au? Hapa hizi zote ni porojo tu subilieni ripoti itoke muumbuke vizuri. Harafu mbona unatokwa povu au ndo ukweli kuuma?

Mkuu shule ndogo sana wewe kama sio bac wewe shule ya kata
Maana mtuu kufungua ac humu ndani bac asichangie mpaka miezi sita ipite acha umbulula mkuu ww jenga hoja tu na watu watakuelewa na sio kuzungumzia ac za watu zina mdaa gani
Ina maanisha wagen hatuitajiki humu ndan au wewe ulivyo fungua ac yako ulisubili mpaka miezi sita au unatafuta sababu za kumwambia muajiri wako
Kama una hoja nenda kaangalie mpira na kama upend mpira kalale mkuu maana hoja zako hazina mashiko
Mijitu mingine bwana mibaguzi kwele inaelekea hili jamaa ni likabila kishenzi
 
Unataka kuniambia kwamba mi niwe nakesha humu nacoment? Hii ajenda yenu mlivyoileta kwa wazi kabisa inaonekana mmetumwa! Mimi sio kwamba tu shule ni ndogo bali sijasoma kabisa nimefunzwa tu ngumbaru kusoma na kuandika baasi,aheli yako we mwenye elimu kubwa ambaye uko tayari kutumika na kujidhalilisha.
 
Hapa hakuna nae mtetea iwe Kafulila au IPTL wameyakoroga inatakiwa wawajibishwe,nyie mnadhani niko hapa kutetea mtu,kama nyie mko na ajenda hiyo endeleeni.

Maana mkuu unajaziba sana ebu punguza jaziba kwanza alafu ndootubishane
Na kama unajaziba bac naic unatumika na kinarostam mkono
 
Timu Tanesco under Mhongo ipo kazini kujisafisha,kweli Jamiiforum imevamiwa mi yangu macho,ngoja itafahamika tu,maanake humu kuna watu wana Id nne na watu wao vivyo hivyo wanaulizana maswali na kupongezana wao kwa wao lengo ni kuwasafisha IPTL na Mhongo na kuwachafua akina Kafulila walioliibua hili suala,CAG hahongeki kirahisi nyie ngonjeni mtaumbuka tu sijui mnajiita watoto wa mbwaaa.

Time will tell, ila Team kafulila imeanza kuumbuka mapema nahii nidalili kwamba ndie atakae umbuka mwisho wa sakata. Alisema yeye kwamba Seth hatakiwi kenya
 
Unataka kuniambia kwamba mi niwe nakesha humu nacoment? Hii ajenda yenu mlivyoileta kwa wazi kabisa inaonekana mmetumwa! Mimi sio kwamba tu shule ni ndogo bali sijasoma kabisa nimefunzwa tu ngumbaru kusoma na kuandika baasi,aheli yako we mwenye elimu kubwa ambaye uko tayari kutumika na kujidhalilisha.

Mkuu kwa hilo nimeamini wewe timu rostam timu kafulila ika endelea mkuu c unalipwa
 
wewe humjui kafulila kumbe,we wa wapi wewe, hivi umeshasikia vigogo watatu wanahusika hapo Mengi,Rostam na Mkono unadhani watashindwa kulipa hiyo bilioni 500,si kama ka hela ka ugoro tu

minimechelewa nilikua naniliu. kwani siku hizi mengi na rostam ni washkaji wanapiga dili pamoja eti ?
 
enhee hebu fafanua huo ufisadi kuanzia mwanzo serikali imeomba msaada katika kuzalisha umeme baada ya ukame mwaka 1994,marekani ikakataa kutusaidia,endelea mbele mwalimu nyerere kwa kutumia nafasi yake ndani ya jumuia ya south south commission alipotuunganisha na malaysia ambayo ikaamua kutusaidia ukatumwa msafara ma waziri wa nishati na maji,katibu wa rais mwinyi dk ngasongwa kwenda malaysia,waziri mkuu wa malaysia akaita makampuni makubwa ya umeme ambayo yako tayari kuwekeza tanzania kwenye umeme ndipo Mechmar Malaysia Berhard ilipokubali na ikawa tayari kufanya kazi na mzee rugemarila mzawa kama mmiliki halali wa asilimia 30,za mradi huo na ikaja kuwekeza nchini kwa kufuata masharti yote kisheria sasa hebu nieleze wapi kulikuwa na ufisadi nikupe shule vizuri,tupo hapa kujifunza

Wizi upo kwenye capacity charge toka iptl inaanzishwa mpaka leo
 
Maana mkuu unajaziba sana ebu punguza jaziba kwanza alafu ndootubishane
Na kama unajaziba bac naic unatumika na kinarostam mkono
Nyie ndo mnajaziba na matusi ya kumwaga hasahasa huyo dada recho,na unajua nyie ndo mnaotumika kwa sababu yote mnayoyaandika nyie mnataka tuyaite facts ila tukiwajibu sisi mnatuita mbulula,na nikwambie tu kwamba mie sijawahi kutumika,situmiki na sitotumika hata siku moja!
 
Mkuu kwa hilo nimeamini wewe timu rostam timu kafulila ika endelea mkuu c unalipwa

Si mliniambia kuwa mi nina elimu ndogo au wa shule za kata? yote hayo nimewakubalia kwa sababu nyie mtu akiwapinga tu mnamuita mbulula.
Nimashasema sitoweza kutumika kwa namna yoyote ile,hiviwe mtu akitofautiana nawewe kwa hoja tayari anatumika,si ndio?
Kikubwa nyie ni kuwapuuza tu.
 
Nikweli kabisa mkuu vita dhidi ya ufisadi ni ngumu sana, ila nakuomba upunguje jazba na ufuatilie sakata hili la iptl kwa umakini sana kama unataka kujua ukweli hata mimi kabla sijazama na kula nondo za kutosha nilipatwa na muhemko kama wewe mwanzo. Ufisadi kweli upo katika nchi yetu na mpaka sasa kesi nyingi tu zipo mahakamani bado na chunguzi nyingi tu zinafanyika. Lakini kwenye hili la iptl mkuu rest assured kwamba hakuna ufisadi hapa ni janjajanja za wafanyabiashara na unafki wa kisiasa tu huu. Hili ni skendo la kupikwa ili watu fulani wapakane matope. Alafu mkuu kwenye hili la nguvu ya umma, kama nikukipika kizazi chetu kwa suala la uzalendo sawa, watu wawe wazalendo kwa nchi yao, ili wapatikane viongozi ambao kweli watapigania umaskini wa watu wao. Ila naomba usiwe na fikra za nguvu ya umma inayofanana na ile ya Arabu Spring maana hapo nnamashaka kwamba kwa sisi na mazingira yetu na hulka na mikakati ya mabeberu tunaweza tusitoke salama na mkuu amani nikitu kikubwa sana hata kama unalala njaa leo.
Tukirudi kwa kafulila na CAG mkuu bado na kushauri uzame vizuri tu utagundua hila zao hawa jamaa, driving behind them pia utaiona, zama tu mkuu hata JF humu yameandikwa mengi tu yatakayo kujuza ukweli juu ya hawa vibaraka wanavyotumika.

Mkuu,

Sina jazba kabisa, ila ni muhimu tuwaze na tuseme hali halisi.
Naomba kwa kunisaidia mimi na wengine ambao hawajazama vizuri, tupe fact ulizonazo kuonyesha hila zao. Itaeleweka vizuri kama utazingatia pamoja na mengine haya matatu;
1. Kwamba mgogoro uliokuwepo kuhusu IPTL kudanganya uma/TANESCO ulimalizika kwa mlalamikaji kuridhika kwa uwazi.
2. Kwamba hisa ziliuzwa kwanza kwa thamani ndogo na baadaye kupanda thamani ili kudanganya uma (ufisadi).
3. Kwamba waliofanikisha haya yote ni watumishi wa uma waliojitoa ufahamu kwa sababu ya maslahi binafsi.

Ahsante.
 
Mkuu uliyoyazungumzaa ni kweli kabisa lakini ulivyo rudi kwenye topic kwa kafulila kuwa karib na CAG ni kwa ajiri ya kupata ushaidi kwa hapo utakuwa unaupendo wa kisiasa
Ukweli ni kwamba kuna watu wazito nyuma ya hii skendo na wanatumia pesa zao ili kuibadilisha hii issue ili ionekani ya kiumma zaid kwa kupitia wanasiasa na viongozi waandamiz wa serekali kavile CAG
Mkuu muda utafika na nyaraka zote zitaanikwa humu jamvi na ndoo utajuja kwamba kafulila na CAG wanatumika kwa na wao wanajiita wafia nchi japokuwa wengine si raia watz na wao wamo
Kafulila anapower kubwa ya kushawish na ndomaana ma jamaa yamtumia kwa ukaribu sana
Tunajua kwamba kafulila kapokea ml 90 kutoka kwa mkono + rostam na uzuri wa rostam akikupa pesa ni lazima akusainishe kwanza sasa na yeye kafulila atatuambia hapa jamvini zile pesa alipewa ni za nn

Kwa hiyo mkuu endelea kufatilia mjadala vizuri ndo utakuja jua kwamba amna ufisad wowote uliofanya na zile pesa c za umma ila ni ugomvi tu wa wafanyabiasha wakubwa

Mkuu wewe kuruta,

Ni vizuri tukajadili kwa facts badala ya blah blah. Yawezekana uko sahihi, hata hivyo utakuwa raia mwema na utasaidia wasiojua kama mimi na wengine ili tutende haki katika kujadili ukiongeza facts au ushahidi kwenye maelezo yako ukizingatia pamoja na mengine haya;
1. Kama kesi kati ya TANESCO na IPTL iliisha kwa uwazi.
2. Kama uuzwaji wa IPTL kwa PAP haukuhusisha kushusha hisa thamani na baadaye kupandisha tena (ufisadi).
3. Kama Kafulila kapokea fedha kiasi ulichotaja au kingine chochote

Ni muhimu tukajua kwamba kila raia ni mmiliki wa mali ya uma, wale viongozi na watendaji wa serikali wamepewa dhamana tu ya kuilinda na kuiendeleza kwa niaba ya wananchi. Haiingii akilini na inatia wasiwasi mkubwa iwapo mwenye mali (raia) anapopewa taarifa kwamba kuna wizi au udanganyifu ulipoteza mali zake, awatetee wanaotuhumiwa bila hata ya kupata uthibitisho!
Ajabu zaidi mwenye mali aseme kuwa anayetuhumu hahusiki (siyo raia)! Hata kama hahusiki (siyo raia) anatakiwa amshukuru na amuone kama mwenye faida kwake kwa kulinda mali yake.
Zingatia pia kuwa wewe, mimi na wengine tunataka haki na hivyo hatuna sababu ya kuegemea upande wowote ila ni kuhakikisha tu kuwa pesa ya uma imeibwa au la!
 
Tushachoka na kelele zenu kwa ujinga wako CAG ambaye anaendeshwa kwa kodi za wananchi unataka apindishe ukweli kuwabeba hao mafisadi hapo ndio ungefurahi. Ndio maaana nchi hii haiendi mbele kama wananchi wenyewe ndio kama wewe. Hofu yako ya nini kama kawaonea au kasema ukweli ukaguzi ni all about facts hivyo itajulikana mnatapatapa nini? Report haijatoka umejuaje kama inakula kwenu? Au mmempa kabilioni mlikompa Tibaijuka akakatolea nje? Subirini hata kama CAG akihongwa itajulikana one day

hata chenge na lowassa nao wamewezeshwa na fedha za umma. wamekuwa wakilipwa mishahara kwa pesa za umma, lakini mwisho wa siku wakaendeleza ufisadi kama kawa.

sasa kitu gani cha kumzuia CAG?. nchi hii mzalendo ni mimi na familia yangu tu, waliobaki wote njaa tupu. njaa mbele akili nyuma.
 
Mkuu wewe kuruta,

Ni vizuri tukajadili kwa facts badala ya blah blah. Yawezekana uko sahihi, hata hivyo utakuwa raia mwema na utasaidia wasiojua kama mimi na wengine ili tutende haki katika kujadili ukiongeza facts au ushahidi kwenye maelezo yako ukizingatia pamoja na mengine haya;
1. Kama kesi kati ya TANESCO na IPTL iliisha kwa uwazi.
2. Kama uuzwaji wa IPTL kwa PAP haukuhusisha kushusha hisa thamani na baadaye kupandisha tena (ufisadi).
3. Kama Kafulila kapokea fedha kiasi ulichotaja au kingine chochote

Ni muhimu tukajua kwamba kila raia ni mmiliki wa mali ya uma, wale viongozi na watendaji wa serikali wamepewa dhamana tu ya kuilinda na kuiendeleza kwa niaba ya wananchi. Haiingii akilini na inatia wasiwasi mkubwa iwapo mwenye mali (raia) anapopewa taarifa kwamba kuna wizi au udanganyifu ulipoteza mali zake, awatetee wanaotuhumiwa bila hata ya kupata uthibitisho!
Ajabu zaidi mwenye mali aseme kuwa anayetuhumu hahusiki (siyo raia)! Hata kama hahusiki (siyo raia) anatakiwa amshukuru na amuone kama mwenye faida kwake kwa kulinda mali yake.
Zingatia pia kuwa wewe, mimi na wengine tunataka haki na hivyo hatuna sababu ya kuegemea upande wowote ila ni kuhakikisha tu kuwa pesa ya uma imeibwa au la!

jambo la msingi kujua ni kwamba TANESCO na IPTL hawana kesi yoyote na popote.

halafu IPTL na PAP ni kampuni binafsi wala sio za umma, hivyo mauziano yao wala hayatuhusu, hata kama wamepeana bure huko kwao ni wao wenyewe kwa mapenzi yao.

sisi tunachotaka ni huduma tu, na tayari TANESCO wamepewa huduma ya umeme, sasa shida iko wapi mpaka tuanze kuimbishwa nimbo za kina mkono, rostam na lowassa bila kuvijua viitikio vyake?.
 
Kweli mkuu pilipili,PAP NA IPTL NI KAMPUNI BINAFSI NA MICHAKATO YAKE YOTE ILIFUATA MISINGI YA KISHERIA
 
wadanganyika we are being taken in a ride ,amina hii issue ametumwa na wanamtandao ailete ili iwe hot issue ili tusahau MUGAWOOO,richmond ets hembu malizeni haraka kujadili tuendelee kuulizia umeme wetu...

richmond waliahidi leo wangekua wameshaingiza megawati 20 kweye grid na hamna dalili hiyo ndio issue

Co lakin pesa anazolipwa c zetu cc
 
Back
Top Bottom