shadow recruit
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,844
- 384
- Thread starter
- #201
Kafulila ile aliyo kula ndio imemtia kiwewe mpaka kachanganyikiwa
co lakin pesa anazolipwa c zetu cc
kafulila ile aliyo kula ndio imemtia kiwewe mpaka kachanganyikiwa
mjadala huu si wa kuachwa hivi hivi watu wakapotosha umma wa watanzania,nitahakikisha kinaeleweka hapa mpaka mnipe ushahidi wa mzalendo CAG kutumika
mkuu,
sina jazba kabisa, ila ni muhimu tuwaze na tuseme hali halisi.
Naomba kwa kunisaidia mimi na wengine ambao hawajazama vizuri, tupe fact ulizonazo kuonyesha hila zao. Itaeleweka vizuri kama utazingatia pamoja na mengine haya matatu;
1. Kwamba mgogoro uliokuwepo kuhusu iptl kudanganya uma/tanesco ulimalizika kwa mlalamikaji kuridhika kwa uwazi.
2. Kwamba hisa ziliuzwa kwanza kwa thamani ndogo na baadaye kupanda thamani ili kudanganya uma (ufisadi).
3. Kwamba waliofanikisha haya yote ni watumishi wa uma waliojitoa ufahamu kwa sababu ya maslahi binafsi.
Ahsante.
mkuu uzalendo mwisho msata huko mjini wote mafisadi tu
asa mpoka kafulila na yeye uzalenda umemshinda ni inchi inakwenda pabaya sana huku tunapoelekea
wizi upo kwenye capacity charge toka iptl inaanzishwa mpaka leo
mjadala huu si wa kuachwa hivi hivi watu wakapotosha umma wa watanzania,nitahakikisha kinaeleweka hapa mpaka mnipe ushahidi wa mzalendo CAG kutumika
katika hali isoyotarajiwa na wengi, hivi sasa imejidhirisha wazi kwamba cag anatumika kisiasa ili kuandaa ripoti ambayo itawafuraisha wapinzani wa kibiashara wa iptl.
Taarifa tulizonazo ni kwamba cag amekuwa akiandaa ripoti ya ukaguzi wake huku akiwa bega kwa bega na wale waliyoshiriki kulilalamikia swala hili ambao ni kafulila&co.
Mpaka hadi sasa haijulikani anatumika kwa maslahi ya nani?
Nikweli kwamba cag hana mahusiano mazuri na baadhi ya maafisa wa serekali,je kuna haja ya kutumika kuwahujumu iptl na serekali?
Kwa nini alazimeshe kusema mchakato escrow ni wakifisadi wakati watu wamelipwa hela zao baada ya kuuza umeme tanesco?
Je walitaka umeme uchukuliwe bure?
Au iptl ni mjomba wa tanesco mpaka iwe hivyo?
Naomba kuwasirisha kwa masikitiko makubwa
tunataka kujisafisha na sabuni yetu inaitwa cag.upo!
wewe je unajisafisha na sabuni gani?. Waacheni wafu wawazike wafu wenzao
wewe je unajisafisha na sabuni gani?. Waacheni wafu wawazike wafu wenzao
MFU ni nani?
wewe!! hapana ila wewe siyo mfu nizombie wewe
Katika hali isoyotarajiwa na wengi, hivi sasa imejidhirisha wazi kwamba CAG anatumika kisiasa ili kuandaa ripoti ambayo itawafuraisha wapinzani wa kibiashara wa IPTL.
Taarifa tulizonazo ni kwamba CAG amekuwa akiandaa ripoti ya ukaguzi wake huku akiwa bega kwa bega na wale waliyoshiriki kulilalamikia swala hili ambao ni KAFULILA&CO.
Mpaka hadi sasa haijulikani anatumika kwa maslahi ya nani?
Nikweli kwamba CAG hana mahusiano mazuri na baadhi ya maafisa wa serekali,je kuna haja ya kutumika kuwahujumu IPTL na serekali?
kwa nini alazimeshe kusema mchakato ESCROW ni wakifisadi wakati watu wamelipwa hela zao baada ya kuuza umeme TANESCO?
Je walitaka umeme uchukuliwe bure?
Au IPTL ni mjomba wa TANESCO mpaka iwe hivyo?
Naomba kuwasirisha kwa masikitiko makubwa
Asante sana.Ila kwa hekima hautakiwi kumtukana mtu na wala siko hapa kumtukana mtu.Tabia ya mtu inaonekana kulingana na maneno yake yatokayo kwenye kinywa chake.Bibilia inasema HARAMu si kiingicho bali kitokacho.SO lugha yako inayotoka kwenye mdomo wako ndiyo yenye shida.Na wala si wewe kama binadamu.
Na umenifundisha kitu kimoja sitachangia mijadala yako sababu sipendi kudhalilishana .
Tunataka KUJISAFISHA na sabuni yetu inaitwa CAG.Upo!
mjadala huu si wa kuachwa hivi hivi watu wakapotosha umma wa watanzania,nitahakikisha kinaeleweka hapa mpaka mnipe ushahidi wa mzalendo CAG kutumika