Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

Sakata la ESCROW ni pigo kwa Lowassa

Hii escrow haiwezi kumuacha Pinda na werema hivi hivi.
Na ukawa wakishika Nchi EPA , Richmond, escrow, meremeta hazitamwacha salama Vasco da gama.
 
Ina maana Rais hakujua juu ya wizi huo?

Huyu mnyama IPTL kwa nini serikali isivunje mkataba wake...hata ikiilipa gharama za kuvunja mkataba si mbaya!

Wanamwandaa Naibu waziri eti wamtoe kafara!!!!! aise!

Serikali ilitakiwa aidha ivunje mkataba na IPTL au iinunue na kuivunjilia mbali. Shida ni kwamba viongozi wa serikali wanashirikiana na wa iptl. Sasa unadhani watavunja kijiwe chao cha kuzalisha fweza.
 
Tulieni enyi ukoo wa panya mjifie vizuri mithili ya panya wanaofia kwenye gunia lenye udaga wa sumu.

attachment.php

koh koh koh this is hilarious......
 
LOWASSA THE KING...of all...ESCROW NI YA PINDA...so just go on to publish PM negatively with ur empty minded...!!!

huy alotoa hii post anakaharuf cha uchochezi na umakundi, yaan waibe wat wengine tena mawazir vigogo serikalin halaf umuhusishe lowassa kwa ku trace uzushi waliomzushia!!, pumbavu ww heshima n muhim kwa rais wako ajaye
 
Nimefuatilia sana mjadala wa kashfa ya Escrow toka ianze, sijasikia Edward Lowassa ametoa maoni gani kuhusiana suala hili. Kulikoni?
 
Haaaaa haaaaa haaaa amekuwa bubu Hadi uraisi hataki tena unacheza na ukoo wa chenge wewe .
 
Nimefuatilia sana mjadala wa kashfa ya Escrow toka ianze, sijasikia Edward Lowassa ametoa maoni gani kuhusiana suala hili. Kulikoni?

Sio Escrow tu sema suala la UFISADI,humsikii na hutakuja msikia akisema, paka hajifungi mwenyewe kengele kaka.
 
Haaaaa haaaaa haaaa amekuwa bubu Hadi uraisi hataki tena unacheza na ukoo wa chenge wewe .

Nasikia mgao wa chenge unaenda kwa Lowassa kwa ajili ya kampeni ya urais eti ili akishinda mzee wa vijisenti awe PM ama waziri wa fedha.
 
Fisadi papa.......kinachosikitisha ni upofu wa watanzania juu yake....ati anaweza kuwa rais wa nchi hii!

Wapambe ndio wanaopiga kelele zote hizo njaa imewafanya kuwa vipofu.Subiri atakavyokuja kudumazwa ,huku hela yake imeenda bure na kushindwa kuirudisha hapo ndio usemi ule wa ''majuto mjukuu''utakapo kumbukwa.
 
Hesabu za Lowassa ni nzito. Hata mlie machozi mwaka kesho 2015 Lowassa atakuwa raisi wa Tanzania. Na zaidi ya hapo, Chenge, Tibaijuka, Karamagi, nk, watakua viongozi wa muhimu watakaomzunguka Lowassa. Wewe unaweza ukasema hizi ni ndoto za mwendawazimu, lakini mimi nakuambia ngoja uone. Usifanye mchezo, siasa ni mchezo mchafu.
 
Kila siku Lowasa... mwacheni mzee wa watu apumzike. Mbona wengine hawasemwi? Ama kweli mti wenye matunda ndio urushiwao mawe.
 
Kila siku Lowasa... mwacheni mzee wa watu apumzike. Mbona wengine hawasemwi? Ama kweli mti wenye matunda ndio urushiwao mawe.

Shetani nimiongoni na majina yanayotajwa sana. Kwamba naye ni mti wa matunda?? So does Lowasa !
 
Lowasa ni kiongozi ambaye watanzania wengi tunamuhitaji, na kila mmoja ana mtizamo tofauti kuhusu huyu kiongozi shupavu. Kuna ambao wanasema Lowasa ana ujasiri wa kimorani haogopi mtu na ana uwezo wa kufanya maamuzi mazito ya kitaifa. Kuna wengine wanasema Lowassa ameshashiba, ameiba vya kutosha, kwa hiyo akiwa raisi sasa hana tena haja ya kuiba, bali atawadumia wananchi kwa uhakika. Wengine wanasema Lowassa ana visasi vya kulipiza, akipata uraisi basi akina Mwakyembe watakiona cha mtema kuni. Na wengine wanasema fisadi ni fisadi hawashibi, akiwa raisi Lowassa nchi imekwisha. Haya yote ni maneno tu ya mtaani, cha msingi ni mwelekeo wa upepo kwenye jamii - Ukweli ni kwamba Lowassa anaonekana kubeba nguvu kubwa ya kuwa raisi 2015. Hata hapa kwenye Jamii Forum hakuna mtu anayejadiliwa na kuzungumziwa kama Lowassa.
 
Muda huu lazima awekimya maana kunakoelekea kugumu lazima acheki upepo asije haribu kwa raia na kwa wenzake siunajua kura ya maon ccm wawezwa katwa kiaina
 
Niliuliza hili swali jana, mtu akanijibu lakini sikupata jibu. Huyu atakaye nafasi ya Urais kuanzia 2015 kaminya kabisa kwenye hii issue ambayo sasa hivi inazungumzwa kila kona ya nchi yetu. Je, anakubalina na ripoti za CAG na PCCB kwamba ile pesa ni ya umma, lazima pesa yote irudishwe na wahusika wafunguliwe mashtaka? au anakubaliana na Kikwete kwamba ile pesa ni ya IPTL? Kama anashindwa kutoa kauli katika issue nzito kama hii kuonyesha msimamo wake katika kutetea maslahi ya Watanzania ataweza kutetea lolote linalohusiana na maslahi ya Tanzania na Watanzania?

Nimefuatilia sana mjadala wa kashfa ya Escrow toka ianze, sijasikia Edward Lowassa ametoa maoni gani kuhusiana suala hili. Kulikoni?
 
Nasikia mgao wa chenge unaenda kwa Lowassa kwa ajili ya kampeni ya urais eti ili akishinda mzee wa vijisenti awe PM ama waziri wa fedha.

Acha propaganda! 1.5 iende kwenye uchaguzi ! This is a bitter joke unless you are senseless about the huge cost of a presidential elections! Hapa nadhani Kwa kupenda kutamka jina la Lowassa mara Kwa mara, ukaamua kwa makusudi kabisa kujifurahisha! Rudi ukajipange vizuri. Reservation of one's comment is wisdom, rather than becoming a chatterbox in the struggle of seeking cheap popularity in the society. Lowassa is not made of that type of material. He tread cautiously, understands the appropriate time to address pertinent issues!
 
Back
Top Bottom