Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Huwezi kuwa msemaji wa watanzania fanya yako wala usitusemee unasumbuliwa njaa tu.
Tulieni enyi ukoo wa panya mjifie vizuri mithili ya panya wanaofia kwenye gunia lenye udaga wa sumu.Acha uongo we msukule. mods futa huu uzi haraka, hauna maana
Sakata la ESCROW limewakumbusha Watanzania walio wengi sakata la Richmond ambalo ndilo lililomtoa Lowasa madarakani. Watanzania taratibu walianza kusahau ufisadi wa Richmond na kuanza kumuunga mkono Lowasa, lakini baada ya kutokea Sakata la ESCROW sasa Watanzania wamekumbuka kuwa ndani ya CCM uwezi kupata kiongozi mwadirifu, hakika Watanzania wakisikia sakata la ESCROW wanaanza kumchukia Lowasa kwa kuwa na yeye alitolewa madrakani kwa sakata kama hili, kwa kuwa nalo linahusisha TANESCO, kweli hii inakumbushia machungu ya RICHMOND. Ukitazama kwa undani ESCROW ni mtoto wa Richmond. Richmond kidogo imilikishwe kwa IPTL, lakini Richmond ikazaa Symbion, Sasa ESROW ni account ya IPTL.
Na wewe upigwe ban kwa kuleta uongo huku
Hospitali hakuna dawa....soon watanzania wataanza kuputika kama kipindi cha ngomo wa madaktari. Mkuru yeye haaaa yuko zake US hata hajui kuna Escrow mtoto wa Richmond.
Umeandika ukweli sana !
Richmond, Symbion, IPTL, ESCROW, ni kitu kile kile. Lowasa na macc yote ni yale yale tu.
Ccm kwa heri.
Ina maana Rais hakujua juu ya wizi huo?
Huyu mnyama IPTL kwa nini serikali isivunje mkataba wake...hata ikiilipa gharama za kuvunja mkataba si mbaya!
Wanamwandaa Naibu waziri eti wamtoe kafara!!!!! aise!
Acha uongo we msukule. mods futa huu uzi haraka, hauna maana
we unanunka masaburiSakata la ESCROW limewakumbusha Watanzania walio wengi sakata la Richmond ambalo ndilo lililomtoa Lowasa madarakani. Watanzania taratibu walianza kusahau ufisadi wa Richmond na kuanza kumuunga mkono Lowasa, lakini baada ya kutokea Sakata la ESCROW sasa Watanzania wamekumbuka kuwa ndani ya CCM uwezi kupata kiongozi mwadirifu, hakika Watanzania wakisikia sakata la ESCROW wanaanza kumchukia Lowasa kwa kuwa na yeye alitolewa madrakani kwa sakata kama hili, kwa kuwa nalo linahusisha TANESCO, kweli hii inakumbushia machungu ya RICHMOND. Ukitazama kwa undani ESCROW ni mtoto wa Richmond. Richmond kidogo imilikishwe kwa IPTL, lakini Richmond ikazaa Symbion, Sasa ESROW ni account ya IPTL.
we unanunka masaburi