Nimefuatilia sana mjadala wa kashfa ya Escrow toka ianze, sijasikia Edward Lowassa ametoa maoni gani kuhusiana suala hili. Kulikoni?
lsh. Mbona name yeye kavuta kupitia kwa Chenge?
Nimefuatilia sana mjadala wa kashfa ya Escrow toka ianze, sijasikia Edward Lowassa ametoa maoni gani kuhusiana suala hili. Kulikoni?
Mkuu Amakisya, kuna aina mbili za ukimya, kuna watu wako kimya kwa sababu hawajui kitu, no research, no right to speak, wamejinyamazia!. Na kuna wakimya ambao they know too much, wakisema hapatakali!, kuliko pasikalike, wameamua bora wajinyamaziea, kuliko kusema!, huyo ndiye EL!.Nimefuatilia sana mjadala wa kashfa ya Escrow toka ianze, sijasikia Edward Lowassa ametoa maoni gani kuhusiana suala hili. Kulikoni?
Lowasa ni kiongozi ambaye watanzania wengi tunamuhitaji, na kila mmoja ana mtizamo tofauti kuhusu huyu kiongozi shupavu. Kuna ambao wanasema Lowasa ana ujasiri wa kimorani haogopi mtu na ana uwezo wa kufanya maamuzi mazito ya kitaifa. Kuna wengine wanasema Lowassa ameshashiba, ameiba vya kutosha, kwa hiyo akiwa raisi sasa hana tena haja ya kuiba, bali atawadumia wananchi kwa uhakika. Wengine wanasema Lowassa ana visasi vya kulipiza, akipata uraisi basi akina Mwakyembe watakiona cha mtema kuni. Na wengine wanasema fisadi ni fisadi hawashibi, akiwa raisi Lowassa nchi imekwisha. Haya yote ni maneno tu ya mtaani, cha msingi ni mwelekeo wa upepo kwenye jamii - Ukweli ni kwamba Lowassa anaonekana kubeba nguvu kubwa ya kuwa raisi 2015. Hata hapa kwenye Jamii Forum hakuna mtu anayejadiliwa na kuzungumziwa kama Lowassa.
Mkuu Amakisya, kuna aina mbili za ukimya, kuna watu wako kimya kwa sababu hawajui kitu, no research, no right to speak, wamejinyamazia!. Na kuna wakimya ambao they know too much, wakisema hapatakali!, kuliko pasikalike, wameamua bora wajinyamaziea, kuliko kusema!, huyo ndiye EL!.
Ukiona watu wanalipigia kelele sana jambo fulani, ujue hao ndio wale wasiolifahamu kwa undani!, wale wanaofahamu kila kitu, kamwe huta wasikia!.
Mfano ni kuhusu Richmond, EL baada ya kujiuzulu uliwahi kumsikia akicomment chochote kuhusu Richmond?!. Jee unajua kuna vitu kuhusu Richmond, Kamati ya Mwakyembe haikuvisema, unavijua ni vipi?!.
Ilisemwa Richmond ni kampuni hewa, ile ile mitambo, sio mitambo hewa, wamiliki sio wamiliki hewa na pesa wanazolipwa sio pesa hewa!, jee unawajua wamiliki wa Richmond?!. Jee unajua kuwa ni Richmond ile ile, ilibadili tuu jina kuwa Dowans, Ikabadili tena jina Simbioni, the rate ya capacity charges ni zile zile na rate ya kuuza umeme ni ilele na wamiliki ni wale wale and take it fro me!, ile tozo ya Dowans, iliishalipwa kimya kimya, unajua imelipwa kwa nani?!. Msiwaone watu wamejinyamazia mkadhania ni wajinga!, haya ndio mambo ambayo Watanzania wataelezwa wazi kinaga ubaga kama CCM itathubutu kumkata huyu jamaa!.
Escrow nayo ni kelele nyingi!, wengi wanadhani mmiliki wa PAP ni yule Singa Singa!, no way!, watu wanamjua mmiliki halisi wa PAP, Singa Singa ni front man tuu, kama alivyo James Rugemalila kwenye VIP, wenyewe halisi wako behind!. Majina yote mlioyaona waliotajwa kupokea pesa, ni majina ya kwenye benki ya Mkombozi tuu na fedha hizo ni 'peanut' tuu, watu wenyewe wapo, wamepokea mihela!, watu wanawajua ndio maana unawaona wako kimya!.
2015 kitu kitu kitawekwa wazi, ni ama CCM wakubali matokeo mgombea wao ni EL au wammwage kama kumwaga mboga, then atamwaga ugali na bora wote wakose!.
Silence is always golden!. Sometimes kunyamaza kimya ni bora kuliko kupayuka payuka!, EL ameamua kujinyamazia, akisubiria the most opportune moment!.
Merry X-Mass.
Pasco.
Wanaoongea sana na kupiga mikelele ni wale tuu wasiojua, wanaojua wako kimya!. The highest authority ni this country is The President of URT, kashasema pesa ni IPTL!, kauli ya rais ndio ya mwisho!. EL anajua kila kitu kwa uhalisia wake kilivyo!, anamjua sio tuu mmiliki halisi wa PAP, bali hata mmiliki wa Simbion!. Anasubiria the most opportune movement, ule wakati tutakapo lifikia daraja, ndipo tutajadili tutavukaje!.Niliuliza hili swali jana, mtu akanijibu lakini sikupata jibu. Huyu atakaye nafasi ya Urais kuanzia 2015 kaminya kabisa kwenye hii issue ambayo sasa hivi inazungumzwa kila kona ya nchi yetu. Je, anakubalina na ripoti za CAG na PCCB kwamba ile pesa ni ya umma, lazima pesa yote irudishwe na wahusika wafunguliwe mashtaka? au anakubaliana na Kikwete kwamba ile pesa ni ya IPTL? Kama anashindwa kutoa kauli katika issue nzito kama hii kuonyesha msimamo wake katika kutetea maslahi ya Watanzania ataweza kutetea lolote linalohusiana na maslahi ya Tanzania na Watanzania?
Mkuu Amakisya, kuna aina mbili za ukimya, kuna watu wako kimya kwa sababu hawajui kitu, no research, no right to speak, wamejinyamazia!. Na kuna wakimya ambao they know too much, wakisema hapatakali!, kuliko pasikalike, wameamua bora wajinyamaziea, kuliko kusema!, huyo ndiye EL!.
Ukiona watu wanalipigia kelele sana jambo fulani, ujue hao ndio wale wasiolifahamu kwa undani!, wale wanaofahamu kila kitu, kamwe huta wasikia!.
Mfano ni kuhusu Richmond, EL baada ya kujiuzulu uliwahi kumsikia akicomment chochote kuhusu Richmond?!. Jee unajua kuna vitu kuhusu Richmond, Kamati ya Mwakyembe haikuvisema, unavijua ni vipi?!.
Ilisemwa Richmond ni kampuni hewa, ile ile mitambo, sio mitambo hewa, wamiliki sio wamiliki hewa na pesa wanazolipwa sio pesa hewa!, jee unawajua wamiliki wa Richmond?!. Jee unajua kuwa ni Richmond ile ile, ilibadili tuu jina kuwa Dowans, Ikabadili tena jina Simbioni, the rate ya capacity charges ni zile zile na rate ya kuuza umeme ni ilele na wamiliki ni wale wale and take it fro me!, ile tozo ya Dowans, iliishalipwa kimya kimya, unajua imelipwa kwa nani?!. Msiwaone watu wamejinyamazia mkadhania ni wajinga!, haya ndio mambo ambayo Watanzania wataelezwa wazi kinaga ubaga kama CCM itathubutu kumkata huyu jamaa!.
Escrow nayo ni kelele nyingi!, wengi wanadhani mmiliki wa PAP ni yule Singa Singa!, no way!, watu wanamjua mmiliki halisi wa PAP, Singa Singa ni front man tuu, kama alivyo James Rugemalila kwenye VIP, wenyewe halisi wako behind!. Majina yote mlioyaona waliotajwa kupokea pesa, ni majina ya kwenye benki ya Mkombozi tuu na fedha hizo ni 'peanut' tuu, watu wenyewe wapo, wamepokea mihela!, watu wanawajua ndio maana unawaona wako kimya!.
2015 kitu kitu kitawekwa wazi, ni ama CCM wakubali matokeo mgombea wao ni EL au wammwage kama kumwaga mboga, then atamwaga ugali na bora wote wakose!.
Silence is always golden!. Sometimes kunyamaza kimya ni bora kuliko kupayuka payuka!, EL ameamua kujinyamazia, akisubiria the most opportune moment!.
Merry X-Mass.
Pasco.
There is time for everything, kumbuka the 'hastily climbers have a sudden fall!, na "mwenye pupa, hadiriki kula tamu!", watu hawana haraka kabisa, "haraka haraka haina baraka", na "subira yavuta heri", endelea tuu kuwa mvumilivu kwa sababu "mvumilivu hula mbivu!, acha papa ili ule tamu!.Hapatakalika kwa maslahi ya nani? Kwa maslahi ya Watanzania au kwa maslahi ya Kikwete!? Huku ndio kulindana ambako Watanzania tumechoshwa nako. Kama hajui kitu aseme sijui kitu. Kama analo analolijua basi aweke hadharani kila kitu kwa faida ya Watanzania wote badala ya kukaa kimya katika juhudi za kulindana huku ncchi ikizidi kwenda mrama hata wafadhili kuanza kugomea kutoa misaada yao baada ya kuona sheria za nchi zinapindishwa ili kulindana katika wizi mkubwa wa zaidi ya bilioni 300 na madudu mengine chungu nzima miaka ya nyuma.
There is time for everything, kumbuka the 'hastily climbers have a sudden fall!, watu hawana haraka, "harska haraka haina baraka", na "subira yavuta heri", endelea tuu kuwa mvumilifu kwa sababu "mvumilivu hula mbivu!.
EL anajua kila kitu, ila anasubiria for the most opportune moment!, atasema yote, huu sio wakati wakati wake, kinachoendelea sasa ni tumeianza tuu safari, tukifika darajani ndipo tutajadili namna ya kuvuka na mtajua kila kitu hadi the slightes details!.
Merry X-mass, Pasco.
The time is not now!, saa hizi ndia kwanza ameianza safari!. Muda muafaka ukifika, atasema kila kitu!.Naaahhhh! THE TIME IS NOW!!! Mbona alikuwa mwepesi kupita nyumba za ibada kutoa rushwa za mamilioni ili viongozi wa dini wampigie debe kwa waumini wao!? Sasa hivi inakuwaje kwenye hii issue anapata kigugumizi!?
The time is not now!, saa hizi ndia kwanza ameianza safari!. Muda muafaka ukifika, atasema kila kitu!.
Pasco.
Mkuu Amakisya, kuna aina mbili za ukimya, kuna watu wako kimya kwa sababu hawajui kitu, no research, no right to speak, wamejinyamazia!. Na kuna wakimya ambao they know too much, wakisema hapatakali!, kuliko pasikalike, wameamua bora wajinyamaziea, kuliko kusema!, huyo ndiye EL!.
Ukiona watu wanalipigia kelele sana jambo fulani, ujue hao ndio wale wasiolifahamu kwa undani!, wale wanaofahamu kila kitu, kamwe huta wasikia!.
Mfano ni kuhusu Richmond, EL baada ya kujiuzulu uliwahi kumsikia akicomment chochote kuhusu Richmond?!. Jee unajua kuna vitu kuhusu Richmond, Kamati ya Mwakyembe haikuvisema, unavijua ni vipi?!.
Ilisemwa Richmond ni kampuni hewa, ile ile mitambo, sio mitambo hewa, wamiliki sio wamiliki hewa na pesa wanazolipwa sio pesa hewa!, jee unawajua wamiliki wa Richmond?!. Jee unajua kuwa ni Richmond ile ile, ilibadili tuu jina kuwa Dowans, Ikabadili tena jina Simbioni, the rate ya capacity charges ni zile zile na rate ya kuuza umeme ni ilele na wamiliki ni wale wale and take it fro me!, ile tozo ya Dowans, iliishalipwa kimya kimya, unajua imelipwa kwa nani?!. Msiwaone watu wamejinyamazia mkadhania ni wajinga!, haya ndio mambo ambayo Watanzania wataelezwa wazi kinaga ubaga kama CCM itathubutu kumkata huyu jamaa!.
Escrow nayo ni kelele nyingi!, wengi wanadhani mmiliki wa PAP ni yule Singa Singa!, no way!, watu wanamjua mmiliki halisi wa PAP, Singa Singa ni front man tuu, kama alivyo James Rugemalila kwenye VIP, wenyewe halisi wako behind!. Majina yote mlioyaona waliotajwa kupokea pesa, ni majina ya kwenye benki ya Mkombozi tuu na fedha hizo ni 'peanut' tuu, watu wenyewe wapo, wamepokea mihela!, watu wanawajua ndio maana unawaona wako kimya!.
2015 kitu kitu kitawekwa wazi, ni ama CCM wakubali matokeo mgombea wao ni EL au wammwage kama kumwaga mboga, then atamwaga ugali na bora wote wakose!.
Silence is always golden!. Sometimes kunyamaza kimya ni bora kuliko kupayuka payuka!, EL ameamua kujinyamazia, akisubiria the most opportune moment!.
Merry X-Mass.
Pasco.
Nakuheshimu sana ila ngoja niseme kitu, kwa hiyo kujua huko anakutumia kama turufu ya yeye kuwa kiongozi baas akipitishwa anaweka rehani maisha ya watanzania kwa kukaa kimya??????Mkuu Amakisya, kuna aina mbili za ukimya, kuna watu wako kimya kwa sababu hawajui kitu, no research, no right to speak, wamejinyamazia!. Na kuna wakimya ambao they know too much, wakisema hapatakali!, kuliko pasikalike, wameamua bora wajinyamaziea, kuliko kusema!, huyo ndiye EL!.
Ukiona watu wanalipigia kelele sana jambo fulani, ujue hao ndio wale wasiolifahamu kwa undani!, wale wanaofahamu kila kitu, kamwe huta wasikia!.
Mfano ni kuhusu Richmond, EL baada ya kujiuzulu uliwahi kumsikia akicomment chochote kuhusu Richmond?!. Jee unajua kuna vitu kuhusu Richmond, Kamati ya Mwakyembe haikuvisema, unavijua ni vipi?!.
Ilisemwa Richmond ni kampuni hewa, ile ile mitambo, sio mitambo hewa, wamiliki sio wamiliki hewa na pesa wanazolipwa sio pesa hewa!, jee unawajua wamiliki wa Richmond?!. Jee unajua kuwa ni Richmond ile ile, ilibadili tuu jina kuwa Dowans, Ikabadili tena jina Simbioni, the rate ya capacity charges ni zile zile na rate ya kuuza umeme ni ilele na wamiliki ni wale wale and take it fro me!, ile tozo ya Dowans, iliishalipwa kimya kimya, unajua imelipwa kwa nani?!. Msiwaone watu wamejinyamazia mkadhania ni wajinga!, haya ndio mambo ambayo Watanzania wataelezwa wazi kinaga ubaga kama CCM itathubutu kumkata huyu jamaa!.
Escrow nayo ni kelele nyingi!, wengi wanadhani mmiliki wa PAP ni yule Singa Singa!, no way!, watu wanamjua mmiliki halisi wa PAP, Singa Singa ni front man tuu, kama alivyo James Rugemalila kwenye VIP, wenyewe halisi wako behind!. Majina yote mlioyaona waliotajwa kupokea pesa, ni majina ya kwenye benki ya Mkombozi tuu na fedha hizo ni 'peanut' tuu, watu wenyewe wapo, wamepokea mihela!, watu wanawajua ndio maana unawaona wako kimya!.
2015 kitu kitu kitawekwa wazi, ni ama CCM wakubali matokeo mgombea wao ni EL au wammwage kama kumwaga mboga, then atamwaga ugali na bora wote wakose!.
Silence is always golden!. Sometimes kunyamaza kimya ni bora kuliko kupayuka payuka!, EL ameamua kujinyamazia, akisubiria the most opportune moment!.
Merry X-Mass.
Pasco.
pasco uko vizuri nmekumanya